Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
80% ya Wakurya ni WasabatoHuyo anafanya mzaha tu, kuna Mtu asiyejua Chacha ni Mkurya, haya huyo dada ake hakumuuliza anayetaka kumuoa kabila gani, angalau angekuja kuuliza sifa za Wakurya kuliko kujifanya hajui kabila la mtu anayetaka kumuoa dada ake ila anajua jina tu,
Btw, Mkurya akiwa Msabato hua wastaarabu sana hawana yale matabia wanayosifika kwa huo mkoa wao, wala hawakeketi mabinti zao.