Kina "Chacha" ni watu wa wapi na ni kabila lipi?


Be blessed
 
Kule wanakotumia mapanga kaa Kwa tahadhari nae
 
Wacha kiherehere!! ...hamkomi tuuu?? kwani huyo mleta mada hakusoma makabila ya Tanzania drs la tatu?....km ni kweli basi ni kilaza!! weye unajipendekezaaaaaa kujibu kinacho eleweka!

kwa taarifa yako kina chaha wapo mpaka south A. yoote km ilivo, Uganda ndo usiseme, Nsumbiji, zimbabwe, UK upoo ukoo maarufu wa Magreth chacha! kina Indira Ghati-India hukooo! kina Marwa wamejaa Middle EASt!

Wazaramo/wachaga/zanzibar/ wanyakyusa nk! weeengi walitamani mbegu za askari wakakamavu! wakapewa bureee! mpaka leo mikoa yao imeendelea mnoo!...hata Mama ana damu ya kikurya si unamuona alivo mkakamavu!
 
We jamaa mi naona unatafuta attention tu, huwezi kuwa serious ushidwe kujua kina Chacha ni watu wa wapi ama kabila gani.

Any way, hao raia asili yao ni mkoa wa Mara hasa wilaya ya Tarime. Kabila lao ni wakurya, hawa jamaa wanaaminika kwa ujasiri sana. Kuhusu zile tabia wanazo pakiziwa hiyo ni kutokana na mtu mwenyewe huwezi kumuukumu mtu kisa kabila lake. Kila mmoja ana tabia zake
 
Nashangaa mpaka sasa hujapewa 'Likes' nyingi mno kwa huu Ukweli wako Kuntu uliouandika kutuhusu Sisi Watu wa Mkoa wa Mara ( Musoma )
 
Hao ni waluhya toka Kenya, wanasifika kwa ustaraabu, wapole, hawana hasira, wanajua kuhandle wanawake vizuri, walinzi wazuri wa familia, siku wewe na mdogo mkimchokoza atawapa zawadi ya upendo, Karibu Sirari mura.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Jana kwenye taarifa ya habari azam mkurya mmoja kampiga mke wake kamvunja mguu kisa hajalima akamaliza shamba.
Na bado Usiku Kitandani alipigwa tena 'Kibaiolojia' na najua alisikia 'Utamu Kunoga ' sana tu kwani Tanzania nzima hakuna Wanaume wanaojua Kusugua vyema ( vizuri ) Mbunye za Wadada ( Wanawake ) na Wakafurahi na Kuridhika kama wa kutoka Mkoani Mara ( Musoma )
 
Yaami ulivyochangia nikadhani umeolewa na mkurya. Story zingine za vijiweni muwe munaziacha huko huko.

"Eti ukienda Tarime au Serengeti wanawake wote wana makovuπŸ˜‚" sikawahi kukutana na mtu mzushi kama wewe toka huu Mwaka uanze
 
kama mdogo wako ana dharau mtahadharishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…