Kina "Chacha" ni watu wa wapi na ni kabila lipi?

😂😂😂 Hasa hasa Zanzibar wamejaa Santa huko. Ila kweli mama anaonekana kuwa na damu ya kikurya vile😂
 
Chief hapa umemaliza Uzi ufungwe sasa
 
Ukimkuta mjeda atakurusha kichura balaaaa.... kisa kwa nini umefuga ndevu ukapita eneo la geshi!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitaki hata kuwasikia wajedaa, nusu waniuee. Nlikua najuta kwenda kwa Mujibu wa Sheriaa.
 
Hakikisha dada yako ana bima ya afya ya kueleweka,maana muda wowote bandana na firigisi zinaweza kuchanganyikana akahitaji operation ya emergency [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] boraa tahadhari awe nayo mapemaaa.
 
Nimekaa na wakurya kwa kiasi kikubwa ata baadhi ya marafiki zangu ni wakurya. Hizo tabia za ukorofi, kiburi nakadhalika ni uongo tu. Kila binadamu ana tabia zake, sikuwahi kuona hizo tabia kwa hao jamaa zangu.

Kitu pekee niliona ni wanaume wa kikurya wana mfumo dume yaani mwanamke hana sauti mbele ya mume wake. Na hii ndio asili yetu Waafrika, ata kwenye hilo sioni kuna ubaya wowote ule. Hizi ishu za 50/50 ni upuuzi kutoka huko kwa wazungu
Chief hapa umemaliza Uzi ufungwe sasa
 
Kwa akili za wanawake unavyozijua bila mfumo dume unadhani wanaenda.

Ikifanyika sensa ya makabila yanayoongoza Kwa taraka nafikiei wakurya watashika mkia
 
Mkurya akifunga ndoa na mwanamke kuachana ni ngumu sana yaani sana kwanza wanawake wa kikurya ni wavumilivu mno. Ata kama ikitokea wameachana kwa sababu za hapa na pale yule mwanamke hawezi kuolewa tena mpka arudishe mahali kwa yule alie muoa hapo ndio atakuwa free. Bila hivyo bado ata hesabika ni mke wa mtu ata kama haishi na mume wake. Kitu kingine wanajali sana watoto na huwezi chukua mtoto kwa mwanamume wa kikurya kirahisi rahisi tu labda umuibe ama umroge.

Mabinti wa makabila mengine usitarajie kuzaa na mwanamume wa kikurya alafu uchukue mtoto, hapo ndio utajua ukorofi wao.
Kwa akili za wanawake unavyozijua bila mfumo dume unadhani wanaenda.

Ikifanyika sensa ya makabila yanayoongoza Kwa taraka nafikiei wakurya watashika mkia
 
Wakiitwa watu wanaowafahamu wakurya siti ya mbele ni yako.

Kwa Faida ya single mother; mkiolewa na mkurya hata hao watoto wenu in mali take; kaeni mkijua hilo
 
Mkurya akiwa msabato anakuwa the best person zaid ya unavyodhan but usimfanyie dharau wakurya hatuwez kuvumilia dharau hata lwa bahat mbaya
 
Akina Chacha bwana wako design tofauti. Wako waliozaliwa masaki wakakulia Toronto au USA kisha wakarudi bongo. Hawa wana tatizo kabisa ila kwa wale waliokulia bush wakaletwa mjini na kisomo au ajira hao ndio wa kuogopwa 🤣🤣🤣!

1.Kwanza kabisa makazini ni much knows, nimefanya kampuni mbili tofauti na hao watu. Wana itikadi za majungu, unafiki na kujipendekeza sana ili wao ndio waonekane wenye ubora matokeo yake wanaishia kuwa vibaraka wa ngozi nyeupe.

2. Personality yao imeegama kwenye kufanikisha jambo kwa namna yeyote ile ila kwa kuwa wengi wanaamini katika mabavu huwa akili hawazitumii sana. Ukiwa mtu mwenye akili kuwazidi huwezi kutoboa maana mtakuwa mnashindana tu katika kila kitu. Ndio maana wamekuwa chaguo zuri kwa jeshi letu la polisi kule.

3. Wanapenda vyeo na recognition, hawa jamaa bwana hata ukimpa nafasi ya mwenyekiti wa wapangaji mtaani basi mtaifurahia show. Yani yupo radhi akwamishe jambo kwa sababu yeye hayupo tu ilihali linawezekana. Nje ya hapo ukifosi basi ujue umeanzisha mgogoro tayari na ataanza beef na wewe. Ni madikteta kwa asili.

3. Con & Selfish, usije ukafanya ishu ya hela na hawa jamaa ukategemea atakutoa. Ni matapeli wa maneno na hela ikiingia kwake kuikamata ni ishu. Labda utumie umafia.

4.Kwenye mahusiano jamaa ni ma monster, ni mfumo wa kibabe tu demu akijifanya chizi anarudi kwao na mguu moja na meno ishirini🤣🤣🤣🤣! Dharau mwiko na kwenye hili hawana utani.
 
Aya ya mwisho umeandika upumbavu mkubwa kumkozea adabu mleta Uzi braza wa watu mshenzi Sana wew

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hao ndugu nimekaa nao sana, kuna kipindi nilikuwa nafanya shughuli zako Kenya kwahiyo nilikuwa nakaa pale Tarime. Kwahiyo nimejua vingi kutoka kwao, hawa watu wana ushirikiano sana.

Pia wanaheshimu sana mila zao, ndio maana mpaka leo wanatekeleza mila yao ya kutahiri kwa kienyeji Dar es Salaam.
Wakiitwa watu wanaowafahamu wakurya siti ya mbele ni yako.

Kwa Faida ya single mother; mkiolewa na mkurya hata hao watoto wenu in mali take; kaeni mkijua hilo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitaki hata kuwasikia wajedaa, nusu waniuee. Nlikua najuta kwenda kwa Mujibu wa Sheriaa.
Ilikuwaje hebu lete kisa kbl ya mm kuletq cha kwangu....
 
Yaani mpaka uishi kwenye jamii Yao ndio utawaelewa vizuri. Hawa wanaosambaza majungu ni wale was kuokoteza maneno mitaani au unakuta amekutana na Moja akajumlisha wore.

Ukitaka kujua wakurya no wastarabu we mpigue mke wake; atakufuata kistaarabu na kukuonya uachane na mke wake; sasa wewe jifanye kudume uendelee utajua hujui. Huu ni ustarabu wa Hali ya juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…