Kina "Chacha" ni watu wa wapi na ni kabila lipi?

80% ya Wakurya ni Wasabato
 
Hata ukimzalia mtoto nje ni wake, yaani yeye kakuacha wewe make huko Ngoreme kaja zake Dar after 3 years akirudi akakuta mtoto ni wake.
Kibaya sana-watoa ving'amuzi.
 
Hawana heshima kwa wanawake, wao mwanamke ni chombo tu.Mila zao si njema sana kwa mwanamke asiyezijua.
 
Hawana akili wote tungeogopa dharau kama wao nchi ingekalika hii.Hawana ustaarabu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Watu wengi wanakujibu kimzaha hadi nashangaa!

Majina ya Chacha ni majina ya Kikurya, kwa Tanzania wanaishi Wilayani Tarime Mkoa wa Mara period

Musoma, Bunda, Tarime, Serengeti kote kuna wakurya! Ttz watu wamekariri kuwa Tarime tu ndo kuna wakurya! Wilaya yote ya Serengeti ni wakurya tupu!
 
Musoma, Bunda, Tarime, Serengeti kote kuna wakurya! Ttz watu wamekariri kuwa Tarime tu ndo kuna wakurya! Wilaya yote ya Serengeti ni wakurya tupu!
Ukianza kuzagaza namna hiyo sasa, mwisho utasema popote wanapatikana kwa sababu katiba yetu inaruhusu mtu yeyote kuishi popote.

Ukitaja Musoma, Wajita na wakwaya unawaweka wapi?
Ukitaja Serengeti, Wangurimi unawaweka wapi nk nk.

Ingawa kimuonekano watu wa Mara ni kama Wakurya flani hivi, wamegawanyika katika makabila madogo madogo ambayo hata tamaduni zake zimetofautiana.

Wilaya ya Tarime ndiyo Wilaya hasa kitovu cha Wakurya og.
 
Hata ukimzalia mtoto nje ni wake, yaani yeye kakuacha wewe make huko Ngoreme kaja zake Dar after 3 years akirudi akakuta mtoto ni wake.
Kibaya sana-watoa ving'amuzi.
Ndio maana halisi ya kutoa mahari yani anakumiliki wewe na vyote utakavyo/ ulivyo zaa pasipo kujarisha ni cha ndani au nje ya ndoa.
Hilo la ving'amuzi siku hizi halipo kwa asimilimia kubwa sana
 
Mkuu hiyo dhana ya unyanyasaji ni kama umefunika jambo,Wakurya wana mfumo dume haswa,mwanamke hana sauti na mikono yao ni mepesi kupiga mtu. Hata kama haya mambo yapo mikoa mingine,lakini kwa wakurya naona kumezidi.
MFumo dume upo kwa kila mwanaume wa kiafrika(asilimia kubwa jamii za wafugaji) sema siku hizi uzungu ndio umefanya wanaume wamekuwa mabinti(baadhi yao)
Swala la wao kuwa na mikono wepesi ya kupiga inaweza kuwa inachangiwa na wanawake wa jamii yao wenyewe, wanawake wengi wa kikurya walikuwa wanaamin mwanaume asipo kupiga hakupendi hii pia ilichangia waume zao kuwa na ukatili, pia na dharau kikurya hawezi kukupigia kabla nikakwambia nitakupiga au nitakukata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…