Kina dada jifunzeni hapa, usimdharau mwanaume asiye na kitu huwezi jua kesho yake

Kina dada jifunzeni hapa, usimdharau mwanaume asiye na kitu huwezi jua kesho yake

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
Taiwo amesema kitendo Cha kuoa kabla ya kupata pesa na umaarufu kimemsaidia sana katika maisha yake 👏🏿👏🏿

Kipindi ambacho naoa Kila mtu alimshauri mke wangu asiolewe na mm maana nilikuwa Sina pesa za kutosha kufanya jambo zuri Kwa ajili yake 😭😭lakini binti wa watu aliziba masikio na kusema naamini ipo siku tutapata hizo pesa ambazo watu wanaona hatuna 🥺

Nilipopata Fursa ya kucheza mpira alikuwa ananisukuma kuwahi mazoezi Kila siku 👏🏿👏🏿
Na Sasa tunaishi maisha ya furaha nimepata pesa nimemnunulia Kila kitu alichokuwa anakitamani na hata Sasa naendelea kumnunulia ili azidi kufurahi 💕💕alinipenda wakati sikuwa na kitu ,akakubali kuolewa na mm wakati sikuwa na kitu ,Sasa nimezipata Fursa kwake kuzitumia ❤️❤️

Wale walionidharau ,walisema mm ni maskini siku hizi wanapiga simu wanaomba msaada kwangu 🤪 wasichana walionikataa Sasa hivi wanalilia na kusema wako tayari kutoa miili Yao Kwa ajili yangu 🤣

Nawaaambia tu kaeni mbali am happily married man 👏🏿👏🏿👏🏿

Wee
FB_IMG_17193025186533958.jpg
 
“Pata pesa tujue tabia yako” sasa mwanaume akiwa te si lazima anyenyekee hana meno.!
Mimi kwakweli mwanaume awe na pesa ndio tupendane, kutibuana baadae akishajipata aanze kunipa stress sitaki.!
 
Back
Top Bottom