Kina dada jifunzeni hapa, usimdharau mwanaume asiye na kitu huwezi jua kesho yake

Kina dada jifunzeni hapa, usimdharau mwanaume asiye na kitu huwezi jua kesho yake

Taiwo amesema kitendo Cha kuoa kabla ya kupata pesa na umaarufu kimemsaidia sana katika maisha yake 👏🏿👏🏿

Kipindi ambacho naoa Kila mtu alimshauri mke wangu asiolewe na mm maana nilikuwa Sina pesa za kutosha kufanya jambo zuri Kwa ajili yake 😭😭lakini binti wa watu aliziba masikio na kusema naamini ipo siku tutapata hizo pesa ambazo watu wanaona hatuna 🥺

Nilipopata Fursa ya kucheza mpira alikuwa ananisukuma kuwahi mazoezi Kila siku 👏🏿👏🏿
Na Sasa tunaishi maisha ya furaha nimepata pesa nimemnunulia Kila kitu alichokuwa anakitamani na hata Sasa naendelea kumnunulia ili azidi kufurahi 💕💕alinipenda wakati sikuwa na kitu ,akakubali kuolewa na mm wakati sikuwa na kitu ,Sasa nimezipata Fursa kwake kuzitumia ❤️❤️

Wale walionidharau ,walisema mm ni maskini siku hizi wanapiga simu wanaomba msaada kwangu 🤪 wasichana walionikataa Sasa hivi wanalilia na kusema wako tayari kutoa miili Yao Kwa ajili yangu 🤣

Nawaaambia tu kaeni mbali am happily married man 👏🏿👏🏿👏🏿

WeeView attachment 3025519
Sure
 
Achen umalaya, tafuteni pesa zenu, achen kupigia hesabu mafanikio ya watu, kuweni real kwenye love. Huwez sema unamvumilia mtu unayemependa..

Ukome kenge wee!!!
usilolijua usikurupuke mkuu😁😁hakuna alotegemea pesa ya mtu,,,sema saivi mmezid kua vimarioo mnataka kulelewa,,tunakubali kuwalea mnatupga na vtu vizito.

Mbung'o weeee
 
akwende kule na umaskini wake,,sio maskini wote wa kuvumiliwa wengine ni vichomi,, now I'm regretting here for wasting my time to him.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em sema kweliiii?
 
Back
Top Bottom