Kina dada jifunzeni hapa, usimdharau mwanaume asiye na kitu huwezi jua kesho yake

Kina dada jifunzeni hapa, usimdharau mwanaume asiye na kitu huwezi jua kesho yake

“Pata pesa tujue tabia yako” sasa mwanaume akiwa te si lazima anyenyekee hana meno.!
Mimi kwakweli mwanaume awe na pesa ndio tupendane, kutibuana baadae akishajipata aanze kunipa stress sitaki.!
Kwa nini wewe usitafute hizo pesa uende nazo kwenye ndoa.wanWake mnapenda vitonga
 
Pole sana kama unaangukia kwa Malofa. Naweka booking basi Mimi ni intellectual. Nicheki PM
OMG kwani hua wanasema mm n lofa sasa,,, alikuja ki ofisa ofisa🙌🏾😂 sitaki
 
“Pata pesa tujue tabia yako” sasa mwanaume akiwa te si lazima anyenyekee hana meno.!
Mimi kwakweli mwanaume awe na pesa ndio tupendane, kutibuana baadae akishajipata aanze kunipa stress sitaki.!
Sasa hapo unampenda au unapenda pesa zake? Zikiisha uanasepa.
 
Sasa wanawake gani unaongea nao!! Nikajua ulioa mwanaume kumbe bado ulivumiliwa na huyo huyo mwanamke!!

Msipende kukuza mambo bwana, wangapi mmevumiliwa na bado mkazipata na kuwa mafurushi pro max!! Na wangapi mmevumiliwa ila hadi leo ni makapuku vile vile!

Ukikataliwa just move on, hakuwa wako huyo. Kuendelea kulia lia hakutabadilisha kitu.
 
Back
Top Bottom