Kina dada jifunzeni hapa, usimdharau mwanaume asiye na kitu huwezi jua kesho yake

Kina dada jifunzeni hapa, usimdharau mwanaume asiye na kitu huwezi jua kesho yake

akwende kule na umaskini wake,,sio maskini wote wa kuvumiliwa wengine ni vichomi,, now I'm regretting here for wasting my time to him.
Jamaa akasepa kaacha na chata yakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
β€œPata pesa tujue tabia yako” sasa mwanaume akiwa te si lazima anyenyekee hana meno.!
Mimi kwakweli mwanaume awe na pesa ndio tupendane, kutibuana baadae akishajipata aanze kunipa stress sitaki.!
Dah love mbona unanitisha hvy, ujue mm sina kitu ila Sir God aliniambia nikioa ndio ntakuwa tajiri
 
😁😁 Sijawahi miliki io kitu,,,ila mnatetea upande mmoja utasema ni malaika na kumbe wabaya wapo
anyway....then hayo kaa nayo sasa usiyalete huku maana mumeo hayupo hawezi jitetea. mi nadhani kwa sasa muangalie ni wapi mmeanguka msimame msonge mbele
 
kumbe mlikutana hamna akili. yaani unatumia zako tu zinaisha yeye anafanya nini? then usilalamike ....ulalamishi ni dalili za mtu ambaye hakubali makosa
πŸ˜„πŸ˜„Mkeo ana kazi sana,,sizani kama hua unamkisiliza,,,,aya nimekubali kosa that's why nkasema sirudii tena au unataka nikubali vip mkuu,,acha ubabe bwan wew
 
nilikua nazo na tulitumia zangu ,,sasa tungeishi vipi kama wote hatuna kitu!?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yaan unamu accommodate mwanaume yeye kazi yake kula mzigo tu. Mbinguni una special seat aiseeπŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yaan unamu accommodate mwanaume yeye kazi yake kula mzigo tu. Mbinguni una special seat aiseeπŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wooooiiii
 
Back
Top Bottom