Kina dada jifunzeni hapa, usimdharau mwanaume asiye na kitu huwezi jua kesho yake

Kina dada jifunzeni hapa, usimdharau mwanaume asiye na kitu huwezi jua kesho yake

“Pata pesa tujue tabia yako” sasa mwanaume akiwa te si lazima anyenyekee hana meno.!
Mimi kwakweli mwanaume awe na pesa ndio tupendane, kutibuana baadae akishajipata aanze kunipa stress sitaki.!
Yeye ataleta hizo pesa kwenye kupendana kwenu, wewe utaleta nini?
 
Pole sana mamaa, niliwahi kuwa na mahusiano na single mamaa fln aiseee hua sijui n kwamba anapenda kwel au anataka sehemu ya kutuliza hisia zake kwa ndoa.
kwaio ulimuacha😳😂
 
Back
Top Bottom