Kina dada jifunzeni hapa, usimdharau mwanaume asiye na kitu huwezi jua kesho yake

Hebu tuambie ili experience mazuri, mabaya, mapungufu yapi?
N vile tuu alitaka mwanae awe karibu na babake huku hapo hapo niliamua kuchukua jukumu hilo la mwanae.
Sasa hilo sio tatizo ila tatizo ni kwamba alitaka mtoto akiwa kwa babake nae awepo huko huko nkaona huo n upuuzi hvy nikakata kila nilichokuwa nafanya kwa mwanae, alirudi na kilio mana huyo jamaa ake alikuwa hamfanyii lolote mwanae ila Mm nikawa tayari Nimefunga madirisha na mlango.

CC Ms R
 
lilikua lijinga aseeeee,,
 
ivi alikua anafkiria mara mbili kwel!!?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Yani jf hata km hutaki ugomvi utalazimishwa, sasa aliyekwambia single maza haolewi nani??
Sema ile avatar yako ya lol single mother linaongea na Aifoni ndio nzuri irudishe basi 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom