Kina dada jifunzeni hapa, usimdharau mwanaume asiye na kitu huwezi jua kesho yake

Kina dada jifunzeni hapa, usimdharau mwanaume asiye na kitu huwezi jua kesho yake

Pole sana, kumbe ulipitia magumu
Ah bc kwenye mahusiano hua ht siumizi kichwa khvy wala sion n jambo gumu, juzi kati hapo mwez wa 5 ndo kuna hali nimepitia mpaka nikanyoosha mikono juu na nikalia kama mtoto 😂
 
Hakunaga fomyula....

Kuwa masikini leo haina guarantee kwamba huko mbele ya safari utapambazukiwa. Na kumfanya mtu abaki na wewe kisa eti una potential ya kufanikiwa huko mbele ni ndoto za alinacha. Pia kuwa na pesa leo haina maana kwamba huko mbele hutaishiwa. Bila misingi sahihi hapa mwanzoni, yote ni kazi bure!

Tafuta mtu muwe marafiki na washikaji. Mpeane furaha katika kidogo chenu mlichonacho ili huko mbele hata mkija kupata pia mbakie hivyo. Vinginevyo ni yale yale. Binti wa watu anahangaika na furushi masikini, likipata tu vihela hilo linamuona hafai linakwenda kutafuta wengine na kumsahau huyu waliyesota pamoja...and the same goes to girls. Kijana wa watu anajitoa wakati binti hana kitu, siku akipata kazi au kibiashara chake kikisimama basi huyu kijana aliyehangaika naye anaonekana hafai...

Kila mtu na afate guts na hisia zake...and no regrets please!
 
Ulizaa naye? Kwani ilikuwaje kuwaje mpk mkazinguana?
👇
N vile tuu alitaka mwanae awe karibu na babake huku hapo hapo niliamua kuchukua jukumu hilo la mwanae.
Sasa hilo sio tatizo ila tatizo ni kwamba alitaka mtoto akiwa kwa babake nae awepo huko huko nkaona huo n upuuzi hvy nikakata kila nilichokuwa nafanya kwa mwanae, alirudi na kilio mana huyo jamaa ake alikuwa hamfanyii lolote mwanae ila Mm nikawa tayari Nimefunga madirisha na mlango.

CC Ms R
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Hata hii mtaizoe tyuu!! Mimi nimeichoka, au km vipi nipe picha yako niweke.
Dah! Ulivyopona pona ban kwa hekaheka ulizokuwa nazo kwa hizi siku mbili tatu basi hutakuja kupigwa ban tena. Wallahi sijaamini; na ni guarantee kwamba utatoboa mpaka Krismasi safari hii. Inabidi tu nikuhongereshe maana hakuna namna 😁😁😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🖐
 
Back
Top Bottom