Kina dada: Mazoezi yenu kando ya barabara ni ufuska mtupu

Tunapopita na range zetu wanakuwa wanatutazama kwa jicho la kuibia ibia angalau tuwapungie mkono, teh, teh....wazee wa kumega kisela lazima wacheze sana na milupo ya kujiachia kwa barabara...
 
Hakuna kitu, we ukimpata ni akili zako zimekutana na zake. Wapo ki mazoezi.

Kando ya road ni cover pia kwao, ngumu kumfanyia hujuma
Jamaa anataka wakafanyie tizi chocho awaibukie?
 
Napenda Sana ile mipingili ya mkononi inavyoruka-ruka. Achilia mbali wezere. Ambiance imehamia barabarani kwa kofia ya mazoezi uchwara. Ulimbo huo atakayenasa anase
 
Aisee watu wanafanya mazoezi kwa afya yao unaita ufuska wabongo shida sana kwa kweli...
 
Tangu covid ianze bar zimekauka, madanga yamepotea, ufuska umehamia kwenye mazoezi, na hii nnaiona pia arusha along the new bypass, kuanzia ngaramtoni mpaka usa.. ni full mitego, wadada wengi wanafanya mazoezi kibiashara zaidi
Hata hii njia ya kisongo unakuta wanaanzia hapo Headquarters za Tanapa mpaka karibu na Airport huku ni shida tupu mana misabwanda kama yote roads unaweza kupata ajali
 
Muheshimiwa, uzi huu ni total failure kama hauna "maonesho "!Ni kama unaota tu. Some illusions πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama hujaweka picha utakuwa unapiga pori tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…