Kina dada: Mazoezi yenu kando ya barabara ni ufuska mtupu

Kwer mkuuu nilisha wahi waona kama wawili hvi barabara ya UDSM kuelekea ARDHI wanayatikisa ma msambwanda balaaaa nguo imechora kila kituuuu
Alafu ikawaje,ulitazama tu,au hapo hapo.lakini si kosa lako ni kosa LA fikra za mlengo wako.
 
Ni hatari Sana kukimbia kando ya barabara ambayo Haina njia ya watembea kwa miguu. Huku magari yakienda Kasi.
 
Unamkuta mdada anakimbia mwenyewe kigiza kimechanganya. Seriously?
 
kuna mzee fulani alikuwa kwenye ndinga akamuona binti anapanda boda yule mzee aliifukuza ile boda mpaka mwisho akaenda kuomba namba
ufuska mwingine wa kina dada ni kupanda bodaboda alafu kiuno kipo wazi na hajavaa chupi,hii nimeona zaidi ya mara tatu
 
Umkute amevaa Shanga utafurahi zaidi
 
kuna mzee fulani alikuwa kwenye ndinga akamuona binti anapanda boda yule mzee aliifukuza ile boda mpaka mwisho akaenda kuomba namba
ufuska mwingine wa kina dada ni kupanda bodaboda alafu kiuno kipo wazi na hajavaa chupi,hii nimeona zaidi ya mara tatu
Ha ha ha
Biashara ubunifu!
 
Acheni akiba dada wafanye mazoezi.. Wapunguze miili na kuwa fit... Akina dada wanachangamoto nyingi Sana za Afya. ...
 
Uzi wa kitambo namna hii hamna hata tupicha? ☹️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…