Kina dada: Mazoezi yenu kando ya barabara ni ufuska mtupu

Kwani usiwaangalia na kuwapatiliza itakupunguzia nini?
 
Mbona wachina wanavaa mabuga kwenye kung fu Na mtizi upo fresh tu? Hao wanatafuta mabwana tu mbona hawafanyi mazoez mwaka mzima maana yake akipata bwana anasepa
Af mnijuze huko saudi wanapasha Na hijab au n veeeepe
 
kumbe huwa unaniona mkuu huwa naanzia tank bovu naenda mbezi ya chini kule napandishia pale junction ya kawe
 
mbona sijawahi kuona haya mazoezi tandale ,manzese,kimara ,tandika au huku hakuna wadada
 
kumbe huwa unaniona mkuu huwa naanzia tank bovu naenda mbezi ya chini kule napandishia pale junction ya kawe
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ huwa unanisuuza mtima wangu sana,unatikisika kama maini kwenye mfuko wa rambo πŸ˜€ πŸ˜€
 
Wanauame wanaofanya mazoezi barabarani haujawaona?
Sisi wanaume sijui tuna mapepo, yaani kumwona mwanamke anakimbia barabarani tu ushamdhania vibaya?!! Ubaradhuli.
 
Kawaida tu mazoezi labda ile evening walk pengine na sio wote Maana mayo ni mazoezi.
 
Nilikua napenda kupita barabara ya UDSM kila siku jionk,nilikua najiokotea watoto wabichi wa chuo. Siku hizi hawaonekani tena.
 
Kwa bahati nzuri ninaishi ndani ya mkoa mojwapo wa hiyo uliyoitaja na huwa nafanya road run jioni baada ya kazi.

Umeuliza kama gym hazipo ama? Road run ni zoezi zuri zaidi kwani unapokimbia misuli karibu yoye ya mwili inakua inafanya kazi. Pia road run ni refreshing maana una hewa ya kutosha tofauti na gym penye mrudikano wa watu, na pengine inatumika AC.

Kuhusu mavazi, nguo za mazoezi ndivyo zilivyo, mara nyingi zinakua za kubana mwili.
 
mi nikiwa chuo napenda sana kuwaona wakiwa ktk netball
 
Wakaka mazoezi yao kando ya barabara ni sawa gym zinakua zimejaa??
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Dah! Huwa wananipa wakati mgumu sana natamanigi niwape lifti sijui hua wanaishia wapi ngoja kesho kuna mmoja ntamalizana nae maana kila siku na muona either ana rudi ama anaenda ss sijui anaanzia wapi anaishia wapi anageukia wapi ila kesho naleta mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…