Kina dada: Mazoezi yenu kando ya barabara ni ufuska mtupu

Ukitegwa, wewe unategua. Usikubali kunaswa na hiyo mitego. Zamani, yale tuliyokuwa tunayaona faraghani kwa wanawake, siku hizi yanaonekana hadharani. Hawajali wala hawaoni aibu. Hiki ndiyo kizazi tulichonacho sasa. Mungu atuhurumie
zamani IPI?
ya wanawake kufunga kaniki Viunoni huku vifua vipo wazi?
au zamani Ipi?
 
Tangu covid ianze bar zimekauka, madanga yamepotea, ufuska umehamia kwenye mazoezi, na hii nnaiona pia arusha along the new bypass, kuanzia ngaramtoni mpaka usa.. ni full mitego, wadada wengi wanafanya mazoezi kibiashara zaidi
Hahahaha
 
Ukitegwa, wewe unategua. Usikubali kunaswa na hiyo mitego. Zamani, yale tuliyokuwa tunayaona faraghani kwa wanawake, siku hizi yanaonekana hadharani. Hawajali wala hawaoni aibu. Hiki ndiyo kizazi tulichonacho sasa. Mungu atuhurumie
Hahahaha, ila Mkuu mm binafsi napenda mdada ,aseme bana nitafutie kiasi kadhaa tupige game ,sio kutegana tegana kingese
 
Dah asanteni kwa kunipa eneo la kwenda kutega mitego yangu niopoe wakugegeda.... Ila dah hawa wanawake wakivaa vile vicondom vya alafu tako lipo yaani bonge la vibration hadi raha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…