Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Hapana. Watu wanaitaga watu majina tu wakijisikia. Mi sikujui ila naweza nikakuita shoga na majina yote mabaya ila nakua nimejisikia kukuita tu hivyo ili nikudhalilishe. Utapinga ila kuna watu wanaenjoy Sana kudhalilisha wenzao. Yani bila sababu atakuandikia tu akuonyeshe wewe ni mbaya mchafu na usiestahili.Hadi amekuita shoga ni kaona sifa au tabia za ushoga ktk uandishi wako... Na kama ni kweli lazma ucharuke!