Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Ukiacha kutukumbusha sisi kupotezea mkumbushe na wanaume wenzenu kujiheshimu/kuheshimu wengine. Ni kitu kidogo lakini kina maana. Usimtendee mwenzio usichopenda kutendewa
Najaribu kuwashauri nyie maana naona kama ndio mko upande unaokwazika zaidi. Jamaa najua yupo mahali anacheka tu ila madam alipo kanuna sana anatamani kumtafuna. Ndio maana nawashauri nyie mkae kimya tu
 
Mie...unadhani nanuna?
Basi members wote wa Jf wangekuwa maadau zangu.
Wanaonijua wanajua kama mie simaind mambo madogo.
Yaani hapa niko mguu juu napunga upepo hapa PapiChullo
 
Najaribu kuwashauri nyie maana naona kama ndio mko upande unaokwazika zaidi. Jamaa najua yupo mahali anacheka tu ila madam alipo kanuna sana anatamani kumtafuna. Ndio maana nawashauri nyie mkae kimya tu
Kweli unamkwaza mwenzio unakaa sehemu unafurahia amekwazika. Ila tunatifautiana mioyo. Mwingine akiona mwingine Hana Furaha yeye Ndo anapopatia Furaha.
 
Basi ukuquote kwa adabu Kama unamquote MTU mzima mwenzio. Usiuote MTU Kama unataka ugombane nae. Kuwa tu na ubinadamu. Msipende kukera wenzenu kisa moyo yenu inawatuma hivyo. Haya ni maisha huwezi jua kesho unaemtukana atakufaa kwenye nini. Tusijisahau Sana kisa tuko kwenye simu zetu basi tuone wengine hawana thamani kisa wameandika hivi.
Yap, narudi pale pale, usijisifie bali kupewa hela na wanaume unaowaita "marijali" so wale unaowasema wanakuja pm na salamu ndo sio marijali, sasa mkiitwa hoes na hookers mnalalamika, give nice comments and we reciprocate equally, angesema tu straight "mi sipendi salamu sana ila kuna wengine nawajibu na wengine siwajibu", ila kusema hawa marijali kwakuwa wanakupa hela hapa na pale so hawa sio marijali kwakuwa wanakuja mikono mitupu ni hooker behavior straight up, so ukiitwa hooker kwasababu umesema hawa marijali na hawa sio marijali unalia nini hapo
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Mambo yalipofikia sio mazuri. Nadhani inahitajika busara ya ziada kufundishana na kuelekezena pasipo kubughudhiana na kutukanana.

Kina dada wa JF mnataka tufanye nini! tutafute mbinu zipi! Mnalalamika tukija PM ni salamu tu salamu tu hamna ya maana.

Sasa swali letu ni mnataka tukija tujadili nini! hali ya hewa! siasa za mashariki ya kati? au hurricane ya Amerika?

Unapotaka kumwambia mtu jambo unaanza na salamu kisha salamu za kina kidogo kisha lengo mahususi. Sasa nyie tumeshindwa kuwaelewa. Mtuambie mnatakaje nasi tufanye hivyo.

au pesa! nitatumaje tupesa twangu bila hata kujuliana hali! namba nitaipataje.
Wanahitaji kujua kwanza income yako kwa mwez ni kiasi gan ndio wakupe nafasi ya kukusikiliza. Km ni namba za viatu bhac ukapambane na hali yako
 
Okay...sasa kama nauza wewe unakereka nini?
Unataka au unaomba nyongeza?
Mtakuja kutiwa madole ya matako bila sababu **** wewe.

Lami na vumbi vyote vyangu, eheewe....niambie.
Nimepora sehemu au unanidai niambie nikulipe....
Mxiyuuuuuuuuuu!!!!!!
Chefuuuuuuuuu
View attachment 883988
Thing is huu uzi ushafanya kazi yake, wadau washaelewa cha kufanya so just expect a boom in your business venture. I see good future ahead, lets not quarrel, lets educate these people (marijali) so they send in more cash, as you know the more the merrier.
 
Yap, narudi pale pale, usijisifie bali kupewa hela na wanaume unaowaita "marijali" so wale unaowasema wanakuja pm na salamu ndo sio marijali, sasa mkiitwa hoes na hookers mnalalamika, give nice comments and we reciprocate equally, angesema tu straight "mi sipendi salamu sana ila kuna wengine nawajibu na wengine siwajibu", ila kusema hawa marijali kwakuwa wanakupa hela hapa na pale so hawa sio marijali kwakuwa wanakuja mikono mitupu ni hooker behavior straight up, so ukiitwa hooker kwasababu umesema hawa marijali na hawa sio marijali unalia nini hapo
Wewe kaka unapenda Sana mabishano na wanawake. Leo Ndo nimekujua vizuri. Una maneno mabaya Sana na unapenda kuyatumia kwa wanawake tu sijui walikukosea nini. Nikwambie unachokifanya sio sifa. Unavyoita watu majina sio sifa. Kuwa Kama wanaume wenzio humu. Hata yule aliekua anaandika rubbish kwenye comments za watu hakua anatarget wanawake kama wewe. unakera na unakwaza. MTU hajaquote haina haja ya kumquote na maneno ya hovyo.
 
Najaribu kuwashauri nyie maana naona kama ndio mko upande unaokwazika zaidi. Jamaa najua yupo mahali anacheka tu ila madam alipo kanuna sana anatamani kumtafuna. Ndio maana nawashauri nyie mkae kimya tu
Hawajakasirika hawa ni technique ya kuboost sales, like beef among hip hop artists, this is good for business amigo.
 
Wewe kaka unapenda Sana mabishano na wanawake. Leo Ndo nimekujua vizuri. Una maneno mabaya Sana na unapenda kuyatumia kwa wanawake tu sijui walikukosea nini. Nikwambie unachokifanya sio sifa. Unavyoita watu majina sio sifa. Kuwa Kama wanaume wenzio humu. Hata yule aliekua anaandika rubbish kwenye comments za watu hakua anatarget wanawake kama wewe. unakera na unakwaza. MTU hajaquote haina haja ya kumquote na maneno ya hovyo.
Mzigua90 unamkumbuka yule shost aliyetaka kukopwa na huyu
Screenshot_20181002-005446.jpg

Ngoja tuje na ubuyu kamili
 
Hawajakasirika hawa ni technique ya kuboost sales, like beef among hip hop artists, this is good for business amigo.
Hata tukijiuza k ni zetu usikasirike. We inakuuma nini sasa? Halafu mwanaume kama wewe unaanzaje kuita mwanamke anajiuza hali hajawahi kukuuzia? Ukiuziwa si utabandika na mabango? Acha kudhalilisha watu usiowajua. Hajaja MTU kujiuza huku.
 
Wewe kaka unapenda Sana mabishano na wanawake. Leo Ndo nimekujua vizuri. Una maneno mabaya Sana na unapenda kuyatumia kwa wanawake tu sijui walikukosea nini. Nikwambie unachokifanya sio sifa. Unavyoita watu majina sio sifa. Kuwa Kama wanaume wenzio humu. Hata yule aliekua anaandika rubbish kwenye comments za watu hakua anatarget wanawake kama wewe. unakera na unakwaza. MTU hajaquote haina haja ya kumquote na maneno ya hovyo.
Sometimes nyie baadhi ya JF women mnapitiliza mipaka and you feel good commenting shit upon some of JF men, hata baadhi ya JF Men comes with threads disrespecting JF women na watu wanawakosoa vilevile, i dont like your comments and i dont expect you to like my ugly comments either, if we respek each other we cool, but if u come all high and mighty just cuz you got gap btn yo thighs its not good, mkijicheki mnavyoandika mtajiona,
 
Hata tukijiuza k ni zetu usikasirike. We inakuuma nini sasa? Halafu mwanaume kama wewe unaanzaje kuita mwanamke anajiuza hali hajawahi kukuuzia? Ukiuziwa si utabandika na mabango? Acha kudhalilisha watu usiowajua. Hajaja MTU kujiuza huku.
Hainiumi, sana sana ntakuwa labda pimp wenu
 
Achana nayo mama. Malaya sie tunajiuza sie. Itabidi Maxence Melo atuambie kama huku kuna jukwaa LA danguro wateja wanapokutana NDo maana wanajuana
Tulia.
Mie nakuja na yake nae aje na yangu.
Mie naweka ushahidi 100% kama ni malaya na anafata wanawake Pm wakati uwezo hana.
Screenshot mbona napewa tu.
Mie kama Mange...taarifa inanijia nikiwa sebuleni kwangu
 
Sometimes nyie baadhi ya JF women mnapitiliza mipaka and you feel good commenting shit upon some of JF men, hata baadhi ya JF Men comes with threads disrespecting JF women na watu wanawakosoa vilevile, i dont like your comments and i dont expect you to like my ugly comments either, if we respek each other we cool, but if u come all high and mighty just cuz you got gap btn yo thighs its not good, mkijicheki mnavyoandika mtajiona,
Kwanini MTU anaepitiliza mpaka kwako usimface? Kwa maana MTU hata akindika huku anajiuza sioni ni mpaka UPI aliopitiliza hadi ukukere wewe mkuu. Hii tabia ya kitu afande Mzigua uende ukamtukane nacho Shunie sio kizuri. MTU akipitiliza kwako deal nae sio kuhusisha watu wengine wasiokuwepo. Nimeona screen shot juu mwanamke tena anabishana na wewe na nahisi ulimuita Malaya Kama kawaida yako. Hivi unajisikiaje yani
 
Back
Top Bottom