Yap, narudi pale pale, usijisifie bali kupewa hela na wanaume unaowaita "marijali" so wale unaowasema wanakuja pm na salamu ndo sio marijali, sasa mkiitwa hoes na hookers mnalalamika, give nice comments and we reciprocate equally, angesema tu straight "mi sipendi salamu sana ila kuna wengine nawajibu na wengine siwajibu", ila kusema hawa marijali kwakuwa wanakupa hela hapa na pale so hawa sio marijali kwakuwa wanakuja mikono mitupu ni hooker behavior straight up, so ukiitwa hooker kwasababu umesema hawa marijali na hawa sio marijali unalia nini hapo