Hapana. Watu wanaitaga watu majina tu wakijisikia. Mi sikujui ila naweza nikakuita shoga na majina yote mabaya ila nakua nimejisikia kukuita tu hivyo ili nikudhalilishe. Utapinga ila kuna watu wanaenjoy Sana kudhalilisha wenzao. Yani bila sababu atakuandikia tu akuonyeshe wewe ni mbaya mchafu na usiestahili.Hadi amekuita shoga ni kaona sifa au tabia za ushoga ktk uandishi wako... Na kama ni kweli lazma ucharuke!
Eti ya lunch.Hamna kitu humo, mbwembwe tu, hela ya lunch inakumezesha maneno yooote hayo na mzigo tunaslide inward, act like a hoochie, talk like a hoochie, damn straight you a hoochie..
Kwani mkuu mnavyoandika hizo comment zenu huwa mnazisoma kabla hamjasend? Maana nyie ndo wepesi wa kututupia lawama na kusema wanaume wa JF wanaishi hivi na vile ila mkiitwa majina yenu mbalimbali mnasema tunawaattack si msome comment zenu kwanza muone mnaandika nini afu mmejibiwa vipi!Halafu hii tabia yako ya kuattack wanawake naona unaipenda Sana kaka angu. Unapenda kuchukulia serious kila anachoandika MTU huku. Hata Mimi ulishaniattack. Tuheshimiane basi.
Unajisikia raha gani kumsema vibaya mwingine? Kisa sio Dada ako au ndugu yako wa kike? Mbona sisi tunawaheshimu huku? Hatuwezi anza tu kumpa MTU tuhuma kisa anachoandika.
Na nyie tuheshimuni hata kidogo hamtabanduka popote. Hii sehemu ya wastaarabu tuishi Kama tuliostaarabika sio Kama mateja mtaani wanaoshika watu makalio kisa MTU kavaa NGUO fupi. We ukiona MTU kaandika kitu hajakutukana wala hajakutaja jina sioni sababu ya kuanza kumuita majina. Watu wanafurahisha genge maisha yaende. Tusinyimane raha jamani. Mnataka tuwe tunaandika mistari ya bible chit chat Kama vitu vidogo Kama hivi mnaanza it's wengine Malaya kweli?
Kwahiyo MTU akiandika anavyoandika humu anakua amekukera wapi mpaka uanze kumuita majina mabaya? Yani sielewi MTU hajakuquote kaandika zake jukwaa lisonge unapoanza kumuattack na maneno ya shombo. Au mnataka JF wanaume peke enu Ndo Muwe mnachat mkianza kusema wanawake wa JF wabaya? Maana sisi tukiandika neno lolote mnaanza kutuita majina Kama yote vile. TUHESHIMIANE JAMANi.Wanawake hawaelewagi, huwa hawakumbuki herufi wanayoitoa ikishapita herufi ya pili, anakumbuka fullstop au enter au send ya mwisho
Ishu imeanzia hapo [emoji115], na mimi nikaishia kusema hamna lolote ni HOOKER tuu, now you are crying cynically, so mlitegemea jibu gani kwa mfano labda, a praise?Mateso mwayataka nyie wenyewe.
Mje Pm mkiwa na sababu maalum.
Hatutaki salamu zenu zilizo ndefu kama mkojo wa mlevi.
Mwanaume rijali anakuja anakuuliza nataka nikutumie pesa ya lunch maana naona unachat sana jukwaani..nenda kale.
Mtu kama huyo hata ukimpa namba angalau wafarijika.
Asa wale wengine sasa.....loooollll!!!!!
Salamu kama tuko nursery school
Hilo shoga tu...linatafuta bwana usiku huuKwahiyo MTU akiandika anavyoandika humu anakua amekukera wapi mpaka uanze kumuita majina mabaya? Yani sielewi MTU hajakuquote kaandika zake jukwaa lisonge unapoanza kumuattack na maneno ya shombo. Au mnataka JF wanaume peke enu Ndo Muwe mnachat mkianza kusema wanawake wa JF wabaya? Maana sisi tukiandika neno lolote mnaanza kutuita majina Kama yote vile. TUHESHIMIANE JAMANi.
MTU hajakukosea huna haja ya kumkera. Ubinadamu tu. Ungeambiwa wewe hayo maneno ungefurahi?
Potezea Madame B , wewe ndiye unajijua kuliko mtu yeyote...Eti ya lunch.
Sikujui wala hunijui.
Hiyo pesa unipe nimekuomba.
Wewe ndo umeandika anaetaka pesa utafungua Id mpya.
Hahahahaha
Haloooooooo
Kwa pesa gani babu weeeeee
Mxiyuiiiii!!!!!
We una pesa au vichenchi?
Na wenye pesa wasemeje?
Hebu kung'uta pummbu zako mbele yangu ukalale.
Usinijazie nzi, aio msimu wa maembe huu
Mkuu nnadhani sababu ya kutoelewana umeiweka wazi, tusiende mbali kwa imaginations.Tuendelee peacefully wakuu, hakuna haja ya kuendelea kuvutana...Ishu imeanzia hapo [emoji115], na mimi nikaishia kusema hamna lolote ni HOOKER tuu, now you are crying cynically, so mlitegemea jibu gani kwa mfano labda, a praise?
Kuquote ni kureply a comment, unapoandika comment tegemea utaquotiwa tu miss, its in the application parameters.Kwahiyo MTU akiandika anavyoandika humu anakua amekukera wapi mpaka uanze kumuita majina mabaya? Yani sielewi MTU hajakuquote kaandika zake jukwaa lisonge unapoanza kumuattack na maneno ya shombo. Au mnataka JF wanaume peke enu Ndo Muwe mnachat mkianza kusema wanawake wa JF wabaya? Maana sisi tukiandika neno lolote mnaanza kutuita majina Kama yote vile. TUHESHIMIANE JAMANi.
MTU hajakukosea huna haja ya kumkera. Ubinadamu tu. Ungeambiwa wewe hayo maneno ungefurahi?
Tunaandika kwa umoja hatuendi kumuattack MTU Kama vile kuna ugomvi. Unaweza ukasema wanawake wa JF wezi ila itajulikana sio wote. Lakini unaponifuata Mimi direct na ukaniita mwizi unakua umenijengea picha gani? Na sijawahi kukuibia kisa tu nimeongelea wizi. Mi sidhani Kama huku kuna wahuni wanaosubiri MTU aandike kitu waanze kukibebea bango. Muache MTU aandike au hata afanye. Hamna MTU mwenye usafi wa kuanzia kumuita mwingine majina. Sio poa yani. Kama Una utu utaelewa unachokifanya sio kizuri. Ila Kama unapenda kukera wengine ni sawa maana Ndo kinachokufurahishaKwani mkuu mnavyoandika hizo comment zenu huwa mnazisoma kabla hamjasend? Maana nyie ndo wepesi wa kututupia lawama na kusema wanaume wa JF wanaishi hivi na vile ila mkiitwa majina yenu mbalimbali mnasema tunawaattack si msome comment zenu kwanza muone mnaandika nini afu mmejibiwa vipi!
Nami nakuuliza, ukichukulia serious yote yanayosemwa humu Jf tangu inaanza mpaka leo, tungebaki member wangapi humu?Ishu imeanzia hapo [emoji115], na mimi nikaishia kusema hamna lolote ni HOOKER tuu, now you are crying cynically, so mlitegemea jibu gani kwa mfano labda, a praise?
Mapovu mengi leo, au PM haijaleta kodi km siku zingine, labda mwisho wa mweziHilo shoga tu...linatafuta bwana usiku huu
Kumbe we ndo shoga maana nimejiongelesha tu.Mapovu mengi leo, au PM haijaleta kodi km siku zingine, labda mwisho wa mwezi
Basi ukuquote kwa adabu Kama unamquote MTU mzima mwenzio. Usiuote MTU Kama unataka ugombane nae. Kuwa tu na ubinadamu. Msipende kukera wenzenu kisa moyo yenu inawatuma hivyo. Haya ni maisha huwezi jua kesho unaemtukana atakufaa kwenye nini. Tusijisahau Sana kisa tuko kwenye simu zetu basi tuone wengine hawana thamani kisa wameandika hivi.Kuquote ni kureply a comment, unapoandika comment tegemea utaquotiwa tu miss, its in the application parameters.
Ukomavu ni nini?Binadamu tumeumbwa na nyongo. Kuna muda unaona sasa hapa imezidi unajibu. Huwa najitahidi siwajibu ila kuna muda vinanifika hapaaa
It doesnt matter, we uza tu mambo yako hamna wa kukudai kodi, its urs anywayNami nakuuliza, ukichukulia serious yote yanayosemwa humu Jf tangu inaanza mpaka leo, tungebaki member wangapi humu?
Hizo ulizoleta ni Shobo dundo.
Kushoboka shoboka bila kuwa na ushahidi ndiko kumekuponza.
Kwanza tangu niingie humu Jf 2012 I'd yako ndo kwanza naiona leo.
Afu unakuja kuniattack bila kuwa na uhakika.
MTAOLEWA
Ukiacha kutukumbusha sisi kupotezea mkumbushe na wanaume wenzenu kujiheshimu/kuheshimu wengine. Ni kitu kidogo lakini kina maana. Usimtendee mwenzio usichopenda kutendewaUkomavu ni nini?
Ukomavu ni uwezo wa kuizuia hiuyo nyongo na ukakaa kimya. Huwa inafaa sana kunyamaza.
Okay...sasa kama nauza wewe unakereka nini?It doesnt matter, we uza tu mambo yako hamna wa kukudai kodi, its urs anyway