Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Labda anaona aibu eti.
 
Asa mtu mko conversation ya 7 ila ni salamu tu, mambo, mzima, upo, nambie, shwari...yote ya nini.
Aende kwenye mada husika iliyomfanya anijie Pm
Mada si salamu kujuliana hali.... ?
 
For what?
Ndio maana kuna Pm.
Ok, kwahiyo wanaweka screenshot ili jamii ijue kama wanachat na Madame, who is Madame...
Wanaume nanyi mjirekebishe.

Mengine tunawavumilia basi tu
Hapa nimekuelewa haswa... haya nitaacha soon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…