Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Hahaha
Afu kuna wale unachat nae weeee....anaishia katikati.
Jukwaani yuko online, ila Pm kwako kaishia kati
Wewe ( @K ) inakuhusu....
Ukiona kimya si unamstua tu kwamba ameacha kiporo aje amalizie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…