Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilijua tu utakuwa umesahau. Nacheka sana. Nilikwambia hivi "Nazitunza text zako unazo nijibu"Sikumbuki hata ulichonijibu hivi ulinijibu nn
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Umechapia mrembo...samahani kwa kuchapia eeeh
Hujajibu hoja...umetoa malalamiko tena! I thought una brain kubwa sana.... Leta majibu ya hoja hii kubwa...Salaam sio tatizo salimia mara moja basi lakini sio ukiingia ukitoka salaam eiiiish salaam mara 10 kwa siku
Si una ndg vijijini watumie salaam radio free africa au radio one
Achana na wasalaam kuna wale wa maswali maswali mengiii vipi upo, umekula nini, uko wapi eiiish nilivyo mvivu sasa
Mngetuma basi...mngemchamba mtoa mada mpaka ajuteWanataka tutume hela Wakati ingekuwa vizuri kama mtu anafungua uzi rasmi wa kutaka kutumiwa hela
Halafu inaonekana mimi na wewe kama vile damu zetu haziendani kabisa,yaani huwa mpaka kuna muda naona comment zako lakini na nina tamani kusema kitu lakini,lakini najikaza tu ili nisije nikasema chochote nikakutibua kisha ukanisemea mbovu,huwa nahuruma sana na watoto wa kike.Sikumbuki hata ulichonijibu hivi ulinijibu nn
Ndio maana sisi huwa tunaamua ku.......................Wanawake hawaeleweki wala wengi wao hawajui ni nini wanataka.
Real love and MoneyWanawake hawaeleweki wala wengi wao hawajui ni nini wanataka.
Jadili kilichokuleta pm mkuu kama kuna ajari au kuna mvua kubwa imeua mkoani uko sio unakuja tu kuanzia asubuhi mpaka usiku ni salaaamHujajibu hoja...umetoa malalamiko tena! I thought una brain kubwa sana.... Leta majibu ya hoja hii kubwa...
Nini kifanyike huko PM?
Unasubiri jibu au vp? Mbn kama umewajibia hawa wadada?Mkuu, Jf ya leo imekosa maadili na adabu kama siku zile za kitambo.
Humu jf pamekua na utoto na upuuzi wa vijana kuwatweza wadada na hata kufikia hatua ya kuwavua utu wao.
Wadada wengi wamekua waoga, na hawatuamini tena wanaume wa humu jf kwasababu tumekua tukiwatangaza mara tu wa kisha tukubali ama kutupatia mawasiliano yao.
Ebu kwa leo naomba niishie hapa...
Watoto wa kike hawajielewi kabisa.Wanawake hawaeleweki wala wengi wao hawajui ni nini wanataka.
Nilijua tu utakuwa umesahau. Nacheka sana. Nilikwambia hivi "Nazitunza text zako unazo nijibu"
Hata hii uliyonikumbusha lile ulilo niambia ile siku,pia naitunza.
Mbona umefika mbali tena naanzaje sasa kukuchukia mtu sikujui jamani khaaaHalafu inaonekana mimi na wewe kama vile damu zetu haziendani kabisa,yaani huwa mpaka kuna muda naona comment zako lakini na nina tamani kusema kitu lakini,lakini najikaza tu ili nisije nikasema chochote nikakutibua kisha ukanisemea mbovu,huwa nahuruma sana na watoto wa kike.
Yaani mimi na wewe naona damu zetu haziendani kabisa..... Ni kutibuana sana,ila mimi huwa nakuvumila sana si unajua sisi wanaume ni majalala,hatuchagui taka.Nimekumbuka kweli unaona sasa ninayokujibu ni yaleyale siendi tofauti
wema na hamissa wagombea jina la tz sweetheartJadili kilichokuleta pm mkuu kama kuna ajari au kuna mvua kubwa imeua mkoani uko sio unakuja tu kuanzia asubuhi mpaka usiku ni salaaam
Si unajua hisia. Hivi wewe kweli bibie wakuniambia mimi "Wewe ni Shemale kisha dushe ndio iko active" ?Mbona umefika mbali tena naanzaje sasa kukuchukia mtu sikujui jamani khaaa
Kwa kiasi kikubwa wadada wanaojihusisha sana na hii mitandao yenye privacy kubwa...huwa hawana muonekano mzuri kabisa...angalau ktk hyo mitandao wanapata comfort ya kusifiwa wa kua watu wanao interact nao hawawafaham... Na hii ndio sababu mtu hafanyi kitu chochote hatarishi lkn bado ID yake hataki iwe revealed mana watu wakijua muonekano wake ni hafifu basi wata mkimbia na shobo zitaisha.....haaaaaaaaahhhhhhhhaaaaaaaa mengne kutwaaa kuomba pic
Kwaio acheze mbali unaweza mpelekea moto??🙂🙂🙂Hivi si nilikwambia mm ni shemale na dushe ndio lipo active