Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Sikumbuki hata ulichonijibu hivi ulinijibu nn
Nilijua tu utakuwa umesahau. Nacheka sana. Nilikwambia hivi "Nazitunza text zako unazo nijibu"

Hata hii uliyonikumbusha lile ulilo niambia ile siku,pia naitunza.
 
Salaam sio tatizo salimia mara moja basi lakini sio ukiingia ukitoka salaam eiiiish salaam mara 10 kwa siku

Si una ndg vijijini watumie salaam radio free africa au radio one

Achana na wasalaam kuna wale wa maswali maswali mengiii vipi upo, umekula nini, uko wapi eiiish nilivyo mvivu sasa
Hujajibu hoja...umetoa malalamiko tena! I thought una brain kubwa sana.... Leta majibu ya hoja hii kubwa...

Nini kifanyike huko PM?
 
Sikumbuki hata ulichonijibu hivi ulinijibu nn
Halafu inaonekana mimi na wewe kama vile damu zetu haziendani kabisa,yaani huwa mpaka kuna muda naona comment zako lakini na nina tamani kusema kitu lakini,lakini najikaza tu ili nisije nikasema chochote nikakutibua kisha ukanisemea mbovu,huwa nahuruma sana na watoto wa kike.
 
Mkuu, Jf ya leo imekosa maadili na adabu kama siku zile za kitambo.
Humu jf pamekua na utoto na upuuzi wa vijana kuwatweza wadada na hata kufikia hatua ya kuwavua utu wao.
Wadada wengi wamekua waoga, na hawatuamini tena wanaume wa humu jf kwasababu tumekua tukiwatangaza mara tu wa kisha tukubali ama kutupatia mawasiliano yao.
Ebu kwa leo naomba niishie hapa...
Unasubiri jibu au vp? Mbn kama umewajibia hawa wadada?
 
Nimekumbuka kweli unaona sasa ninayokujibu ni yaleyale siendi tofauti
Nilijua tu utakuwa umesahau. Nacheka sana. Nilikwambia hivi "Nazitunza text zako unazo nijibu"

Hata hii uliyonikumbusha lile ulilo niambia ile siku,pia naitunza.
 
Halafu inaonekana mimi na wewe kama vile damu zetu haziendani kabisa,yaani huwa mpaka kuna muda naona comment zako lakini na nina tamani kusema kitu lakini,lakini najikaza tu ili nisije nikasema chochote nikakutibua kisha ukanisemea mbovu,huwa nahuruma sana na watoto wa kike.
Mbona umefika mbali tena naanzaje sasa kukuchukia mtu sikujui jamani khaaa
 
Nimekumbuka kweli unaona sasa ninayokujibu ni yaleyale siendi tofauti
Yaani mimi na wewe naona damu zetu haziendani kabisa..... Ni kutibuana sana,ila mimi huwa nakuvumila sana si unajua sisi wanaume ni majalala,hatuchagui taka.
 
Jadili kilichokuleta pm mkuu kama kuna ajari au kuna mvua kubwa imeua mkoani uko sio unakuja tu kuanzia asubuhi mpaka usiku ni salaaam
wema na hamissa wagombea jina la tz sweetheart
Ama
Lema kahamia ccm,muanze kuongea siasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona umefika mbali tena naanzaje sasa kukuchukia mtu sikujui jamani khaaa
Si unajua hisia. Hivi wewe kweli bibie wakuniambia mimi "Wewe ni Shemale kisha dushe ndio iko active" ?

Acha niendelee kuzitunza txt zako.
 
haaaaaaaaahhhhhhhhaaaaaaaa mengne kutwaaa kuomba pic
Kwa kiasi kikubwa wadada wanaojihusisha sana na hii mitandao yenye privacy kubwa...huwa hawana muonekano mzuri kabisa...angalau ktk hyo mitandao wanapata comfort ya kusifiwa wa kua watu wanao interact nao hawawafaham... Na hii ndio sababu mtu hafanyi kitu chochote hatarishi lkn bado ID yake hataki iwe revealed mana watu wakijua muonekano wake ni hafifu basi wata mkimbia na shobo zitaisha.....

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom