Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Uki mind watu tunajua labda ndio ukweli. Kwakuwa watu wengi hawapendi kuambiwa ukweli huwa wanachukia wakichanwa ukweli
Kawaida anayejiuza ukimkuta mtaani katulia zake ukimwambia wewe unajiuza lazima azue tifu, ila ukimkuta kazini unasema sh ngapi anaenda bila kuuliza mbona mchana ulinifanya hivi, so same thing happening here
 
Kwa mfano MTU aje akuquote na maandishi marefu akuite shoga na wewe sio utapenda? Ndo kilichotokea hapa
Kusema ukweli madam mtu akifanya hivyo mimi sitamjibu hata. Mwisho wa siku ataonekana ye ndo mjinga maana kimya nalo ni jibu tosha.

Ila unapo argue na mtu kujitetea sometimes unaonyesha weakness flani. Kimya kinasave
 
Kawaida anayejiuza ukimkuta mtaani katulia zake ukimwambia wewe unajiuza lazima azue tifu, ila ukimkuta kazini unasema sh ngapi anaenda bila kuuliza mbona mchana ulinifanya hivi, so same thing happening here
Eti something happen here....nyokkolist zako.
Ushawahi kuja Pm nikakwambia bei?
Screenshotpm yangu afu iweke hapa ili kila mtu ahakikishe kama ushawahi taka nunua penzi langu mbbwa wewe.
Sio unajiongelesha tu hapa kama paka shoga.

Mnachukulia wanawake wa humu wote tuko hapa kwa ajili ya wanaume, kwa wanaume gani basi, nyie wanaume au mashoga, nyie wenyewe mko kwenye kudanga hapa.
Mmefyata boxer zenu matakkoni kutafuta wa kuwafirra.
Tusichukuliane poa.
Kama mlienda Pm kwa hao malaya zenu ni hao...si mimi.
 
Halafu hii tabia yako ya kuattack wanawake naona unaipenda Sana kaka angu. Unapenda kuchukulia serious kila anachoandika MTU huku. Hata Mimi ulishaniattack. Tuheshimiane basi.
Unajisikia raha gani kumsema vibaya mwingine? Kisa sio Dada ako au ndugu yako wa kike? Mbona sisi tunawaheshimu huku? Hatuwezi anza tu kumpa MTU tuhuma kisa anachoandika.
Na nyie tuheshimuni hata kidogo hamtabanduka popote. Hii sehemu ya wastaarabu tuishi Kama tuliostaarabika sio Kama mateja mtaani wanaoshika watu makalio kisa MTU kavaa NGUO fupi. We ukiona MTU kaandika kitu hajakutukana wala hajakutaja jina sioni sababu ya kuanza kumuita majina. Watu wanafurahisha genge maisha yaende. Tusinyimane raha jamani. Mnataka tuwe tunaandika mistari ya bible chit chat Kama vitu vidogo Kama hivi mnaanza it's wengine Malaya kweli?
 
Kusema ukweli madam mtu akifanya hivyo mimi sitamjibu hata. Mwisho wa siku ataonekana ye ndo mjinga maana kimya nalo ni jibu tosha.

Ila unapo argue na mtu kujitetea sometimes unaonyesha weakness flani. Kimya kinasave
Binadamu tumeumbwa na nyongo. Kuna muda unaona sasa hapa imezidi unajibu. Huwa najitahidi siwajibu ila kuna muda vinanifika hapaaa
 
Eti something happen here....nyokkolist zako.
Ushawahi kuja Pm nikakwambia bei?
Screenshotpm yangu afu iweke hapa ili kila mtu ahakikishe kama ushawahi taka nunua penzi langu mbbwa wewe.
Sio unajiongelesha tu hapa kama paka shoga.

Mnachukulia wanawake wa humu wote tuko hapa kwa ajili ya wanaume, kwa wanaume gani basi, nyie wanaume au mashoga, nyie wenyewe mko kwenye kudanga hapa.
Mmefyata boxer zenu matakkoni kutafuta wa kuwafirra.
Tusichukuliane poa.
Kama mlienda Pm kwa hao malaya zenu ni hao...si mimi.
Hamna kitu humo, mbwembwe tu, hela ya lunch inakumezesha maneno yooote hayo na mzigo tunaslide inward, act like a hoochie, talk like a hoochie, damn straight you a hoochie..
 
Badamu banamwagika. Ila vitu vingine sio tu ustaarabu. Kwani uende kumuattack MTU. Hata kama anajiuza hajawahi kukuuzia kwanini umkashifu.
Tuanzie hapo sasa.
Sijawahi muuzia uchi why aseme kuwa ana uhakika?
Yaani wanaume wengine ni kama mashoga kabisa.
Afu analidhalilisha jina la Muasisi wa South.

Mie mtu hata asemeje, maadam siuzi....akitaka alete ushahidi hapa tutaenda sawa.
Ila kama hana ushahidi, kwangu namuona ni kitoko tu
 
Hadi amekuita shoga ni kaona sifa au tabia za ushoga ktk uandishi wako... Na kama ni kweli lazma ucharuke!
Wanawake hawaelewagi, huwa hawakumbuki herufi wanayoitoa ikishapita herufi ya pili, anakumbuka fullstop au enter au send ya mwisho
 
Back
Top Bottom