Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Tulia.
Mie nakuja na yake nae aje na yangu.
Mie naweka ushahidi 100% kama ni malaya na anafata wanawake Pm wakati uwezo hana.
Screenshot mbona napewa tu.
Mie kama Mange...taarifa inanijia nikiwa sebuleni kwangu
Hahahaaa wewe na photoshop zako hizo za wapi maana pm nnayo mimi we utafoji tu maandishi kwenye psd
 
Tulia ulambe dawa
Nataka nionyeshe mie na wewe nani anajiuza
All you can do is Edit, whatever you do itakufurahisha wewe na nafsi yako, as long as sijawahi kufanya hizo mambo am cool, it doesnt matter to me what you say or do [emoji16][emoji16][emoji16]
 
All you can do is Edit, whatever you do itakufurahisha wewe na nafsi yako, as long as sijawahi kufanya hizo mambo am cool, it doesnt matter to me what you say or do [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahahha
Halooooo mbona unajihami?
Nimfurahishe mtu for what, kwa kaffir kama wewe....big NO!!!!
 
Wewe kaka unapenda Sana mabishano na wanawake. Leo Ndo nimekujua vizuri. Una maneno mabaya Sana na unapenda kuyatumia kwa wanawake tu sijui walikukosea nini. Nikwambie unachokifanya sio sifa. Unavyoita watu majina sio sifa. Kuwa Kama wanaume wenzio humu. Hata yule aliekua anaandika rubbish kwenye comments za watu hakua anatarget wanawake kama wewe. unakera na unakwaza. MTU hajaquote haina haja ya kumquote na maneno ya hovyo.

ni kweli 100% kuna mahali alinichomekea kitu hata sijamkosea….achana nae mwaya..wengine hawakufunzwa upendo nyumbani kwao au sijui ni mtoto wa mtaani mwe!
 
Oooyyy Feelings za nin brothrs n sisters mnaonaje mkatulia ni tukawa kma watu wazima. Mbona skuiz tunafanya mambo ya kitoto wakati nyie nyie watu wanapokosana huawakosoa.
 
Kwanini MTU anaepitiliza mpaka kwako usimface? Kwa maana MTU hata akindika huku anajiuza sioni ni mpaka UPI aliopitiliza hadi ukukere wewe mkuu. Hii tabia ya kitu afande Mzigua uende ukamtukane nacho Shunie sio kizuri. MTU akipitiliza kwako deal nae sio kuhusisha watu wengine wasiokuwepo. Nimeona screen shot juu mwanamke tena anabishana na wewe na nahisi ulimuita Malaya Kama kawaida yako. Hivi unajisikiaje yani
Sijawah kubishana na mwanamke PM, wala sitakuja kubishana pm, edit hata mi nazijua so najua kuzitengeneza sio kazi
 
All you can do is Edit, whatever you do itakufurahisha wewe na nafsi yako, as long as sijawahi kufanya hizo mambo am cool, it doesnt matter to me what you say or do [emoji16][emoji16][emoji16]
Brother tulia potezea tu. Haina haja ya maneno mengi.
 
Hahahahahha
Halooooo mbona unajihami?
Nimfurahishe mtu for what, kwa kaffir kama wewe....big NO!!!!
Sijihami hoochie, hizo zako edit hadi uridhike maana kihalisia hazipo, ila kwakuwa wewe ni hoochie na inakufanya ulale fresh usiku we do your best work
 
Sijihami hoochie, hizo zako edit hadi uridhike maana kihalisia hazipo, ila kwakuwa wewe ni hoochie na inakufanya ulale fresh usiku we do your best work
Ushapewa yako makavu, huna jipya kaka shoga.
Huna jipya hata kidogo.
Maadam sijakuuzia wewe, basi kwangu ni raha tu.

Afu wewe naona una dalili za ushoga si bure.
Dume zima mpaka mida hii hujalala eti unabishana na watoto wa kike.
UNA MAPUNGUFU SHOGAAAAA
 
ni kweli 100% kuna mahali alinichomekea kitu hata sijamkosea….achana nae mwaya..wengine hawakufunzwa upendo nyumbani kwao au sijui ni mtoto wa mtaani mwe!
Tatizo mmezidi kuwakashfu wanaume, dont act high and mighty, JF ni free state
 
Ushapewa yako makavu, huna jipya kaka shoga.
Huna jipya hata kidogo.
Maadam sijakuuzia wewe, basi kwangu ni raha tu.

Afu wewe naona una dalili za ushoga si bure.
Dume zima mpaka mida hii hujalala eti unabishana na watoto wa kike.
UNA MAPUNGUFU SHOGAAAAA
Mi nagonga lager tu hapa, its part of entertainment, mkilala mkiamka mtasahau yote
 
Mi nagonga lager tu hapa, its part of entertainment, mkilala mkiamka mtasahau yote
Mwanaume mzima eti umekalisha govi lako unabishana na mwanamke, serious?
We utakuwa mdangaji wa kiume.
Sikia, njoo La Chaaz nikuunganishe na IsakaTone, atakutunza na kukulea kama mkewe
Hahahahahaah
 
Tatizo mmezidi kuwakashfu wanaume, dont act high and mighty, JF ni free state
Amaaa. Kumbe wewe Ndo uko kwenye kampeni ya kukashifu kila mwanamke unaejisikia kumkashifu? Unalipa kisasi maana yake? Sasa mbona mambo ya kitoto hayo? Hao wanaokashifiwa hawana vidole vya kuandika? Halafu sisi hatuwaitagi majina ya ajabu mbona wewe kaka kiranja mkuu wa wanaume wanaokashifu wanawake unaita watu mpaka wanajiuza kisa kulipiza kisasi tu? Ndo maana nilikwambia unachukulia maisha serious. Siwez mwambia Hazard mbaya halafu wewe ukaenda lipiza kisasi kwa Rebeca kisa Mimi. Unafeli hapo. Fanya yako bwana huku kila MTU anajitegemea. Usitake kutukana watu kisa wamesemwa vibaya wanaume wenzio ambao wanaweza kujisemea. Mimi hata sikumbuki kukashifu MTU ila ulinijia na maneno mabaya hadi nikashangaa yametokea wapi
 
Back
Top Bottom