Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

una ishu na wanawake kama unavyotaka kutunyoosha ,jinyooshe kwanza wewe,jiulize kwa nini uko peke yako na sio wanaume wenzako kujibishana na wadada humu...JIKAGUE kwanini wewe na huna support ya wanaume wenzio..?
Haiwez kutokea wanaume wengi wakagombana na wanawake wengi hiyo ni vurugu, one man tells all you ladies to keep straight. And sina maslahi binafsi na JF women, i respect them as i respect my sisters, ila hawa wanaotuongelea shit naona wanakosea na nawaeleza sio fresh.
 
Huu Uzi toka mwanzo watu wanatania vizuri tu kaja yeye mnyoosha wanawake Kama kawaida yake kaanza shombo
 
Amaaa. Kumbe wewe Ndo uko kwenye kampeni ya kukashifu kila mwanamke unaejisikia kumkashifu? Unalipa kisasi maana yake? Sasa mbona mambo ya kitoto hayo? Hao wanaokashifiwa hawana vidole vya kuandika? Halafu sisi hatuwaitagi majina ya ajabu mbona wewe kaka kiranja mkuu wa wanaume wanaokashifu wanawake unaita watu mpaka wanajiuza kisa kulipiza kisasi tu? Ndo maana nilikwambia unachukulia maisha serious. Siwez mwambia Hazard mbaya halafu wewe ukaenda lipiza kisasi kwa Rebeca kisa Mimi. Unafeli hapo. Fanya yako bwana huku kila MTU anajitegemea. Usitake kutukana watu kisa wamesemwa vibaya wanaume wenzio ambao wanaweza kujisemea. Mimi hata sikumbuki kukashifu MTU ila ulinijia na maneno mabaya hadi nikashangaa yametokea wapi
Hebu twende zetu....
Achana nae huyo
Anadanga hapa.
Mbilikimo wa Congo
 
Sasa kumbe huwa mnarusha comment ili ziwafikie akina nani, hamna kisasi ila hampendi kuambiwa negative stuffs, mtu anapoquote comment anajibu hoja iliyowazi why do you take it personal?
 
Haiwez kutokea wanaume wengi wakagombana na wanawake wengi hiyo ni vurugu, one man tells all you ladies to keep straight. And sina maslahi binafsi na JF women, i respect them as i respect my sisters, ila hawa wanaotuongelea shit naona wanakosea na nawaeleza sio fresh.

nani kakupa cheo uwasemee wanaume wenzio???kisha mbona unachomekea kwa watu hata hawajaongea lolote kuhusu wanaume?? wewe admit una problem and work on it....wanaume /wanawake wanasemwa kila siku dunia inakushangaa kutaka kuattack watu kisa wamesema vibaya wanaume..una miaka mingapi kwani??? na lini umeanza kutumia internet?? lol ..just say you have a problem rather kujifunika kwenye kivuli cha 'kusema wanaume' hii sio sababu wewe u act strangely..........
 
Kuongelewa shit gani? Unadhani tulichoandika wanaume wenzio hawakukiiona? Au wewe ulikua mmoja wa unaekesha pm kusalimia? Maana sielewi bado kama sio muhusika kinachokuumiza nini? Halafu kaka hata nyie mnaambianaga mwanaume hashindani maneno na Dada zake. Kwa ufupi tu huwezi kunyoosha tabia ya MTU humu. Kama mnatukera na salamu tusiseme? Naa nyie semeni tunawakera kuwaomba hela. Maana hata hao mnaosema Malaya sijui anajiuza Kama anajiuza huku anajiuza kwa wanaume wenzio. Usipate hasira ukajitia unatetea mwanaume wenzio kumbe unawaharibia wanaouziwa
 
Sasa kumbe huwa mnarusha comment ili ziwafikie akina nani, hamna kisasi ila hampendi kuambiwa negative stuffs, mtu anapoquote comment anajibu hoja iliyowazi why do you take it personal?
Kuna negative na kudhalilisha. Wewe unadhalilisha huongei negative. Kumwambia MTU Malaya anajiuza unahisi ni negative au kudhalilisha? Tuna take personal kwa sababu unamwambia MTU wewe sio nyie. Ukiniambia "Mimi" na sio ninyi lazima nijue umenilenga ujumbe wako wakati tumeandika wengi. Hiyo kazi yako ya kusemea wanaume wa JF embu achana nayo. Sio watoto. MTU akikereka atasema sio kuja kutukana na kuita watu majina. Kwahiyo kila sehemu unapoattack unakutaga mwanaume wa JF anasemwa vibaya?
 
Mchukueni mwenzenu mpalekeni jandoni akatahiriwe mara ya pili.
Naona ya kwanza nyembe iilikuwa butu
Madam punguza hayo maneno,unajua wengi tuliohumu hatujuani kila mtu kaja hpa anajua lililomleta na ukihisi mmoja wapo kakukwaza au kakwambia maneno iwe kweli au sio kweli tuchukulie kma changamoto tu za kujuana na watu kwani hya hta mitaani hutokea.
Maneno mengine huweza yakakujenga na mengine kukubomoa linalohitajika ni kupima kati ya hao mawili na kuamua ila sasa mmoja kaambiwa mwengine akaanza kurusha maneno ambayo hyapendezi halaf mkijiangalia watu wazima sio,naamini wapo ambao wanasoma na hawaridhishwi na mambo mnayoyafanya hpa.
Skuiz matusi yalishapitwa na wkti tueni watu wazima mambo madogo tu hya.
 
Kuongelewa shit gani? Unadhani tulichoandika wanaume wenzio hawakukiiona? Au wewe ulikua mmoja wa unaekesha pm kusalimia? Maana sielewi bado kama sio muhusika kinachokuumiza nini? Halafu kaka hata nyie mnaambianaga mwanaume hashindani maneno na Dada zake. Kwa ufupi tu huwezi kunyoosha tabia ya MTU humu. Kama mnatukera na salamu tusiseme? Naa nyie semeni tunawakera kuwaomba hela. Maana hata hao mnaosema Malaya sijui anajiuza Kama anajiuza huku anajiuza kwa wanaume wenzio. Usipate hasira ukajitia unatetea mwanaume wenzio kumbe unawaharibia wanaouziwa
JF unaichukulia personal sana km vile nakufahamu unaishije, if i call you a hooker does it mean i know you? I just reacted to your comment, and JF is a user-generated content site, here people shout and write some useful and sometimes stupid stuffs, regardless its male or female. All we do is comment, i dont care how you live your life.
 
nani kakupa cheo uwasemee wanaume wenzio???kisha mbona unachomekea kwa watu hata hawajaongea lolote kuhusu wanaume?? wewe admit una problem and work on it....wanaume /wanawake wanasemwa kila siku dunia inakushangaa kutaka kuattack watu kisa wamesema vibaya wanaume..una miaka mingapi kwani??? na lini umeanza kutumia internet?? lol ..just say you have a problem rather kujifunika kwenye kivuli cha 'kusema wanaume' hii sio sababu wewe u act strangely..........
Kajiteua. Msemaji wa Kambi Rasmi ya Wanaume Wanaokashifiwa JF. Maana Ndo utetezi wake kwanini anawaattack wanawake
 
Kuna negative na kudhalilisha. Wewe unadhalilisha huongei negative. Kumwambia MTU Malaya anajiuza unahisi ni negative au kudhalilisha? Tuna take personal kwa sababu unamwambia MTU wewe sio nyie. Ukiniambia "Mimi" na sio ninyi lazima nijue umenilenga ujumbe wako wakati tumeandika wengi. Hiyo kazi yako ya kusemea wanaume wa JF embu achana nayo. Sio watoto. MTU akikereka atasema sio kuja kutukana na kuita watu majina. Kwahiyo kila sehemu unapoattack unakutaga mwanaume wa JF anasemwa vibaya?
Ok on that note, thank you for telling me nothing so far, mnatoka povu tuu si tushajua kinachotakiwa kufanyika au sio?
 
JF unaichukulia personal sana km vile nakufahamu unaishije, if i call you a hooker does it mean i know you? I just reacted to your comment, and JF is a user-generated content site, here people shout and write some useful and sometimes stupid stuffs, regardless its male or female. All we do is comment, i dont care how you live your life.
Ndio maana kuna majukwaa tofauti. Hata mods walijua kuna jukwaa watu wataandika ujinga wao waenjoy. Sasa wewe nani kupangia watu cha kuandika jukwaani? Unadhani JF walikua wajinga kuweka chit chat? Sasa turudi pale pale Kama humjui MTU kwanini umuite majina ya ajabu Kama sio wehu huo? Yani nitoke nilipotoka nianze kusema wewe ni shoga si ntaonekana mkichaa?
Wewe kaka ubadilike tu. Kibaya ni kwamba hujaita MTU mmoja majina yako. Uliza wanaume wenzio wanaishije na wanawake wakiona kitu wasichokipenda labda utaweza kuishi Kama wao na kujifunza kufuatilia yanayokuhusu sio yanayohusu wengine.
 
Madam punguza hayo maneno,unajua wengi tuliohumu hatujuani kila mtu kaja hpa anajua lililomleta na ukihisi mmoja wapo kakukwaza au kakwambia maneno iwe kweli au sio kweli tuchukulie kma changamoto tu za kujuana na watu kwani hya hta mitaani hutokea.
Maneno mengine huweza yakakujenga na mengine kukubomoa linalohitajika ni kupima kati ya hao mawili na kuamua ila sasa mmoja kaambiwa mwengine akaanza kurusha maneno ambayo hyapendezi halaf mkijiangalia watu wazima sio,naamini wapo ambao wanasoma na hawaridhishwi na mambo mnayoyafanya hpa.
Skuiz matusi yalishapitwa na wkti tueni watu wazima mambo madogo tu hya.
Wewe wasema.
Ungelijua tangu awali wala usingefika hapa.

Kila siku nasema, usiichukulie Jf serious, usiifanye Jf kuwa ndio kila kitu chako.
Kuna vitu vingine huwa vinakera na kukwaza.
Mimi hapa, ningekuwa nachukua vitu serious nadhani leo hii ningekuwa siongei na members karibu wote, ila huwa inakuwa ni ubinadamu na kustahamiliana tu.
Mangapi tunakwazika, mangapi wanaume mnatusema ila tunachat, tunacheka na tunafunga mjadala.
Ila sasa huyu jamaa yako naona mambo kayabeba juu juu na u-serious juu.
Afu sasa kafika katikati kajikuta kapotea njia.

Mimi formula yangu ya maisha iko hivi, mtu akini-attack kwa minajiri ya kunidhalilisha huwa siangalii kama hapa kuna nani au nani, napunguza hamu zangu kisha tunaendelea.
Msitumie utu uzima wetu kutuweka hatiani.

Sina utu uzima huo wa kupiga msamba juu ya nyaya za umeme.
Nina utu uzima wangu wa kumuheshimu kila mmoja.
Ila linapokuja suala la kukashifiana, huwa sinaga msalie mtume kwa kweli.
 
Ok on that note, thank you for telling me nothing so far, mnatoka povu tuu si tushajua kinachotakiwa kufanyika au sio?
Kutoka povu ni kazi yetu sisi watoto wa kike. Jifunze kufuatilia yanayokuhusu ya wanaume wenzio waache wana deal nayo wenyewe. Hamna aliekuomba msemee hamna mtoto wako humu. Kwanza unawaharibia biashara yao ya kunua wanawake kwa mdomo wako
 
nani kakupa cheo uwasemee wanaume wenzio???kisha mbona unachomekea kwa watu hata hawajaongea lolote kuhusu wanaume?? wewe admit una problem and work on it....wanaume /wanawake wanasemwa kila siku dunia inakushangaa kutaka kuattack watu kisa wamesema vibaya wanaume..una miaka mingapi kwani??? na lini umeanza kutumia internet?? lol ..just say you have a problem rather kujifunika kwenye kivuli cha 'kusema wanaume' hii sio sababu wewe u act strangely..........
Na nyie mkiwa mnatoa memoranda yenu ya hookers association sio kila mtu anapenda, mi sipendi so naandika comment, wale wanaopenda pia wanaandika comment na maybe wanakuja kuact upon, not everyone thinks you smell like roses,
 
Kutoka povu ni kazi yetu sisi watoto wa kike. Jifunze kufuatilia yanayokuhusu ya wanaume wenzio waache wana deal nayo wenyewe. Hamna aliekuomba msemee hamna mtoto wako humu. Kwanza unawaharibia biashara yao ya kunua wanawake kwa mdomo wako
If you say so, so msitudhalilishe kwa kutuita hawa sio marijali, urijali haupimwi kwa kuwatupia pesa, use other names, km ambavyo hampendi kuitwa hoes
 
Bwana usikasirike kisa haunaa hela. We tafuta utaitwa rijali. Mbona sisi hatuwatukani mkitiita wabaya? Tena kitu ambacho hatuwezi kukitoa. Wewe uvivu wako wa kutafuta pesa Ndo ukasirike?
Sawa Msemaji Wa Wanaume JF kawaambie na wanaume wenzio kina Dada wamesema tutafute pesa ili nisiwatukane tena wakiquestion urijali wangu kisa pesa.
 
Wewe wasema.
Ungelijua tangu awali wala usingefika hapa.

Kila siku nasema, usiichukulie Jf serious, usiifanye Jf kuwa ndio kila kitu chako.
Kuna vitu vingine huwa vinakera na kukwaza.
Mimi hapa, ningekuwa nachukua vitu serious nadhani leo hii ningekuwa siongei na members karibu wote, ila huwa inakuwa ni ubinadamu na kustahamiliana tu.
Mangapi tunakwazika, mangapi wanaume mnatusema ila tunachat, tunacheka na tunafunga mjadala.
Ila sasa huyu jamaa yako naona mambo kayabeba juu juu na u-serious juu.
Afu sasa kafika katikati kajikuta kapotea njia.

Mimi formula yangu ya maisha iko hivi, mtu akini-attack kwa minajiri ya kunidhalilisha huwa siangalii kama hapa kuna nani au nani, napunguza hamu zangu kisha tunaendelea.
Msitumie utu uzima wetu kutuweka hatiani.

Sina utu uzima huo wa kupiga msamba juu ya nyaya za umeme.
Nina utu uzima wangu wa kumuheshimu kila mmoja.
Ila linapokuja suala la kukashifiana, huwa sinaga msalie mtume kwa kweli.
Preach
 
Na nyie mkiwa mnatoa memoranda yenu ya hookers association sio kila mtu anapenda, mi sipendi so naandika comment, wale wanaopenda pia wanaandika comment na maybe wanakuja kuact upon, not everyone thinks you smell like roses,

nani anakuja act upon??,kila mtu humu ni mtu mzima,huna haja ya kumsemea yeyote… tatizo uko twisted kutoka nyumbani kwenu,either mama hayupo duniani na kama yupo haku play role yake well....umetokea toto Nunda usiyejua mwanamke ni mtu kama wewe anayehitaji heshima….ningekuona wa maana kama harakati zako za kutokomeza biashara,ungezifanya aridhini ….sio kututisha huku kwenye keyboard!
 
Kweli unamkwaza mwenzio unakaa sehemu unafurahia amekwazika. Ila tunatifautiana mioyo. Mwingine akiona mwingine Hana Furaha yeye Ndo anapopatia Furaha.
Umenikumbusha Mbali, Kuna Mtumwa Mmoja wa Roma ya zamani anaitwa Publius of Syrus, Aliwahi Kusema Don't Find Happines in someones Sorrows!, unazidi kunivutia ase!
 
Back
Top Bottom