Pre GE2025 Kina Halima Mdee kufika uchaguzi mkuu 2025 wakiwa Bungeni ni Dharau kubwa kwa vyombo vya Sheria , nini kifanyike ?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Mwanzoni tulimlaumu hayati Magufuli kwamba ndiye anawatetea na kukandamiza mihimili mingine .

Baada ya Muda tukagundua kuna Mkono wa Mwenyekiti Mbowe pia kwenye hili suala .

Kwa ujumla wanasheria wameonesha udhaifu mkubwa sana , lakini mamlaka zimeonesha udhaifu.

Hawa wabunge 19 wanamaliza muda wao , je watarudisha pesa zetu walichuma isivyo halali pale bungeni ? , nini kifanyike ?
 
Acheni upumbavu. Mnavyoambiwa pambanieni KATIBA MPYA muwe mnaelewa.

This country is already fucked up. Hakuna mifumo tena. Inaongozwa na fikra za watu kwa namna walivyoamka.
 
Mwanzoni tulimlaumu hayati Magufuli kwamba ndiye anawatetea na kukandamiza mihimili mingine .

Baada ya Muda tukagundua kuna Mkono wa Mwenyekiti Mbowe pia kwenye hili suala .

Kwa ujumla wanasheria wameonesha udhaifu mkubwa sana , lakini mamlaka zimeonesha udhaifu.

Hawa wabunge 19 wanamaliza muda wao , je watarudisha pesa zetu walichuma isivyo halali pale bungeni ? , nini kifanyike ?
CCM WALISHAIKOJOLEA KATIBA NA SHERIA ZOTE, HAPO HAKUNA LA KUFANYA MAANA HAO NI ZAO LA CCM
 
Hao ni asset muhimu kwa nchi, wamevuka level za siasa za kipumbavu, taifa bado linawahitaji, hata kwa viti via Rais au Ukuu wa Mkoa
 
Ni kweli, sasa hivi wako kwenye level ya siasa za uchawa.
 
Hao ni asset muhimu kwa nchi, wamevuka level za siasa za kipumbavu, taifa bado linawahitaji, hata kwa viti via Rais au Ukuu wa Mkoa
Endeleeni tu kuchezea Sheria na Katiba ya Nchi mnavyopenda. Tukifika kipindi cha kuhesabiana na kuwajibishana msiyakane tu haya maneno yenu.
 
Mwanzoni tulimlaumu hayati Magufuli kwamba ndiye anawatetea na kukandamiza mihimili mingine .

Baada ya Muda tukagundua kuna Mkono wa Mwenyekiti Mbowe pia kwenye hili suala .

Kwa ujumla wanasheria wameonesha udhaifu mkubwa sana , lakini mamlaka zimeonesha udhaifu.

Hawa wabunge 19 wanamaliza muda wao , je watarudisha pesa zetu walichuma isivyo halali pale bungeni ? , nini kifanyike ?
WANARUDISHAJE PESA WAKATI WAMEINGIA KI HALALI? WANA BARAKA ZA MWENYEKITI MBOWE NA WANA SAINI YA MNYIKA, KAMA SAINI YA MNYIKA ILIFOJIWA JE NI LINI MNYIKA ALIENDA MAHAKAMANI KUSHITAKI KUWA WAMEFIJI SAINI YAKE WAMEINGIA BUNGENI MAANA NI KOSA KISHERIA YAANI MPAKA WANA MALIZA MIAKA MTANO MNYIKA YUKO KIMYA KWELI HAJASAINI? SIYO TU KUSEMA MAJUKWAANI KUWA HAWATAMBUI WALA HATAMBUI SINI ILE AENDE MAHAKAMANI AFUNGUE SHIUTAKA HAPO NDIPO ATAKAPO JIVUA NGUO WATU WACHUNGULIE MBUPU
 
Back
Top Bottom