Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Huu wa Samia ni mbaya zaidiKwenye utawala wa sheria hakuna utofauti wowote kati ule wa Magu na huu wa Samia ,watafanya lolote hata kuvunja sheria kwa maslahi yao.
Tuamke sisi wenyeweTumpate wapi Traore hapa kwetu?
Hapana, Mbowe hahusiki kwa namna Yoyote ile. Tuache visingizioBaada ya Muda tukagundua kuna Mkono wa Mwenyekiti Mbowe pia kwenye hili suala .
CCM WALISHAIKOJOLEA KATIBA NA SHERIA ZOTE, HAPO HAKUNA LA KUFANYA MAANA HAO NI ZAO LA CCMMwanzoni tulimlaumu hayati Magufuli kwamba ndiye anawatetea na kukandamiza mihimili mingine .
Baada ya Muda tukagundua kuna Mkono wa Mwenyekiti Mbowe pia kwenye hili suala .
Kwa ujumla wanasheria wameonesha udhaifu mkubwa sana , lakini mamlaka zimeonesha udhaifu.
Hawa wabunge 19 wanamaliza muda wao , je watarudisha pesa zetu walichuma isivyo halali pale bungeni ? , nini kifanyike ?
Ni kweli, sasa hivi wako kwenye level ya siasa za uchawa.Hao ni asset muhimu kwa nchi, wamevuka level za siasa za kipumbavu, taifa bado linawahitaji, hata kwa viti via Rais au Ukuu wa Mkoa
Endeleeni tu kuchezea Sheria na Katiba ya Nchi mnavyopenda. Tukifika kipindi cha kuhesabiana na kuwajibishana msiyakane tu haya maneno yenu.Hao ni asset muhimu kwa nchi, wamevuka level za siasa za kipumbavu, taifa bado linawahitaji, hata kwa viti via Rais au Ukuu wa Mkoa
kah!Acheni upumbavu. Mnavyoambiwa pambanieni KATIBA MPYA muwe mnaelewa.
This country is already fucked up. Hakuna mifumo tena. Inaongozwa na fikra za watu kwa namna walivyoamka.
Kajitabu alisikika kiongozi akinenaCCM WALISHAIKOJOLEA KATIBA NA SHERIA ZOTE, HAPO HAKUNA LA KUFANYA MAANA HAO NI ZAO LA CCM
WANARUDISHAJE PESA WAKATI WAMEINGIA KI HALALI? WANA BARAKA ZA MWENYEKITI MBOWE NA WANA SAINI YA MNYIKA, KAMA SAINI YA MNYIKA ILIFOJIWA JE NI LINI MNYIKA ALIENDA MAHAKAMANI KUSHITAKI KUWA WAMEFIJI SAINI YAKE WAMEINGIA BUNGENI MAANA NI KOSA KISHERIA YAANI MPAKA WANA MALIZA MIAKA MTANO MNYIKA YUKO KIMYA KWELI HAJASAINI? SIYO TU KUSEMA MAJUKWAANI KUWA HAWATAMBUI WALA HATAMBUI SINI ILE AENDE MAHAKAMANI AFUNGUE SHIUTAKA HAPO NDIPO ATAKAPO JIVUA NGUO WATU WACHUNGULIE MBUPUMwanzoni tulimlaumu hayati Magufuli kwamba ndiye anawatetea na kukandamiza mihimili mingine .
Baada ya Muda tukagundua kuna Mkono wa Mwenyekiti Mbowe pia kwenye hili suala .
Kwa ujumla wanasheria wameonesha udhaifu mkubwa sana , lakini mamlaka zimeonesha udhaifu.
Hawa wabunge 19 wanamaliza muda wao , je watarudisha pesa zetu walichuma isivyo halali pale bungeni ? , nini kifanyike ?
MBONA HAWAKATAI RUZUKU?WANAWATAMBUA NI WATU WAO MBOWE NA MNYIKA SIASA NI SAYANSIRuzuku wanayopata si inatokana na wao?
NA MNYIKA ALIYESAINI NAYE HAHUSIKI?Hapana, Mbowe hahusiki kwa namna Yoyote ile. Tuache visingizio