Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Ndio maana ana akili ulimwengu sio sawa na yule mbuge aliye kuwa ana kukatia uno samahani lakini👏
Apana na Muamadi GadaffiHivi Hilda so ndio walikua na ukaribu na Ben Saa nane??
Kelele za Nini,wakati nyie Covid 19 mmeshapewa viti maalumu vya sipika.Weka VPN!
Kwa nini tuweke VPN wakati huo ni uhalifu?Weka VPN!
Unasemaje? Wewe?Vinginevyo msamaha wenu unakaribishwa ili mrudishwe kundini.
Mdee hiyo nafasi hakuzaliwa nayo, ilikuwa lazima siku moja aiache, na bahati mbaya sana kwake kaiacha kwa aibu.
Hii kazi waliyokupa kuja kuwapamba huku wakati tayari walishajichafua wenyewe nikushauri tu uiache, itakuondolea heshima yako.
Hii ni kwasababu kila mara ukileta thread za kujaribu kuwasafisha hao wanawake nakuona umejaa mahaba zaidi ya facts, una quote watu lakini nikisoma between the lines ni kama vile hiyo mistari umejitungia mwenyewe, sijui unadhani unamdanganya nani hapa.
All in all kwangu Devotha Minja is a fighter, nikikumbuka alivyopambana kutaka majibu ya rufaa yake agombee ubunge Moro Mjini huyo dada anastahili hiyo nafasi, huyo Hilda is soft, siasa zake ni za mitandaoni zaidi ya field, kwangu namuona bado hatoshi kupewa hiyo nafasi.
Thibitisha.Newton akili kubwa kuliko mzee halima
Hamna hoja uliyoandika zaidi ya kulialia tu, nimekuuliza kwani hao kina Hilda na Devotha kuitaka hiyo nafasi kuna shida gani? au Mdee alikuwa na hatimiliki nayo? wewe ndio unaweweseka.Umeandika:
"Mdee hiyo nafasi hakuzaliwa nayo, ilikuwa lazima siku moja aiache, na bahati mbaya sana kwake kaiacha kwa aibu. Hii kazi waliyokupa kuja kuwapamba huku wakati tayari walishajichafua nikushauri tu uiache, itakuondolea heshima yako. Hii ni kwasababu kila mara ukileta thread za kujaribu kuwasafisha hao wanawake nakuona umejaa mahaba zaidi ya facts, una quote watu lakini nikisoma between the [quoted] lines ni kama vile hiyo mistari umejitungia mwenyewe, sijui unadhani unamdanganya nani hapa."
Naona unaweweseka.
Achana na mleta hoja.
Jielekeze kwenye hoja.
Na hoja ni kwamba: covid19+ ni hatari kuliko covid19.
Unasemaje?
Unasemaje? Wewe?
Pengine nimuulize Erythro. kuhusu mstari huu. Siamini nilichosoma toka kwako!
Kwani mwenyekiti vyake aliyewateua Covid 19 ,anataka kuvichukua?Thibitisha.
Ngoja kwanza nikutathmini, nisije nikawa najadiliana na waruwaru:Hamna hoja uliyoandika zaidi ya kulialia tu, nimekuuliza kwani hao kina Hilda na Devotha kutaka hiyo nafasi kuna shida gani? Mdee alikuwa na hatimiliki nayo? wewe ndio unaweweseka.
Pardon?Kwani mwenyekiti vyake aliyewateua Covid 19 ,anataka kuvichukua?
Jielekeze kwenye hoja, achana na mleta hoja.Kwa mtiririko wa makala zako hapa JF, ni wazi kuwa unayo maslahi na ubunge wa akina Mdee. Pengine ni fedha, undugu, urafiki au majukumu yako ya kiofisi.