Mdee hiyo nafasi hakuzaliwa nayo, ilikuwa lazima siku moja aiache, na bahati mbaya sana kwake kaiacha kwa aibu.
Hii kazi waliyokupa kuja kuwapamba huku wakati tayari walishajichafua wenyewe nikushauri tu uiache, itakuondolea heshima yako.
Hii ni kwasababu kila mara ukileta thread za kujaribu kuwasafisha hao wanawake nakuona umejaa mahaba zaidi ya facts, una quote watu lakini nikisoma between the lines ni kama vile hiyo mistari umejitungia mwenyewe, sijui unadhani unamdanganya nani hapa.
All in all kwangu Devotha Minja is a fighter, nikikumbuka alivyopambana kutaka majibu ya rufaa yake agombee ubunge Moro Mjini huyo dada anastahili hiyo nafasi, huyo Hilda is soft, siasa zake ni za mitandaoni zaidi ya field, kwangu namuona bado hatoshi kupewa hiyo nafasi.