Kina Hilda Newton na Devotha Minja waanza kukinyemelea kiti cha Halima Mdee Bawacha

Kina Hilda Newton na Devotha Minja waanza kukinyemelea kiti cha Halima Mdee Bawacha

Mama Amon hivi hamuoni aibu kusema kuwa huko twitter kuna hili mara hili huku mkijua sisi mnaotuita wanyonge mumefunga hiyo twitter ?Yaani Rais ,Makamu ,Majaliwa wote mnatwiti kwa wananchi gani?
 
Mdee hiyo nafasi hakuzaliwa nayo, ilikuwa lazima siku moja aiache, na bahati mbaya sana kwake kaiacha kwa aibu.

Hii kazi waliyokupa kuja kuwapamba huku wakati tayari walishajichafua wenyewe nikushauri tu uiache, itakuondolea heshima yako.

Hii ni kwasababu kila mara ukileta thread za kujaribu kuwasafisha hao wanawake nakuona umejaa mahaba zaidi ya facts, una quote watu lakini nikisoma between the lines ni kama vile hiyo mistari umejitungia mwenyewe, hata majina ya uliowahoji huyaweki, sijui unaficha nini.

All in all kwangu Devotha Minja is a fighter, nikikumbuka alivyopambana kutaka majibu ya rufaa yake agombee ubunge Moro Mjini huyo dada anastahili hiyo nafasi, huyo Hilda is soft, siasa zake ni za mitandaoni zaidi ya field, kwangu namuona bado hatoshi kupewa hiyo nafasi.
 
Mdee hiyo nafasi hakuzaliwa nayo, ilikuwa lazima siku moja aiache, na bahati mbaya sana kwake kaiacha kwa aibu.

Hii kazi waliyokupa kuja kuwapamba huku wakati tayari walishajichafua wenyewe nikushauri tu uiache, itakuondolea heshima yako.

Hii ni kwasababu kila mara ukileta thread za kujaribu kuwasafisha hao wanawake nakuona umejaa mahaba zaidi ya facts, una quote watu lakini nikisoma between the lines ni kama vile hiyo mistari umejitungia mwenyewe, sijui unadhani unamdanganya nani hapa.

All in all kwangu Devotha Minja is a fighter, nikikumbuka alivyopambana kutaka majibu ya rufaa yake agombee ubunge Moro Mjini huyo dada anastahili hiyo nafasi, huyo Hilda is soft, siasa zake ni za mitandaoni zaidi ya field, kwangu namuona bado hatoshi kupewa hiyo nafasi.

Umeandika:

"Mdee hiyo nafasi hakuzaliwa nayo, ilikuwa lazima siku moja aiache, na bahati mbaya sana kwake kaiacha kwa aibu. Hii kazi waliyokupa kuja kuwapamba huku wakati tayari walishajichafua nikushauri tu uiache, itakuondolea heshima yako. Hii ni kwasababu kila mara ukileta thread za kujaribu kuwasafisha hao wanawake nakuona umejaa mahaba zaidi ya facts, una quote watu lakini nikisoma between the [quoted] lines ni kama vile hiyo mistari umejitungia mwenyewe, sijui unadhani unamdanganya nani hapa."

Naona unaweweseka.
Achana na mleta hoja.
Jielekeze kwenye hoja.
Na hoja ni kwamba: covid19+ ni hatari kuliko covid19.
Unasemaje?
 
Hamna hoja uliyoandika zaidi ya kulialia tu, nimekuuliza kwani hao kina Hilda na Devotha kuitaka hiyo nafasi kuna shida gani? au Mdee alikuwa na hatimiliki nayo? wewe ndio unaweweseka.
 
Mkuu tusiwafungie mlango hawa wasaliti kama watakuwa tayari kuomba msamaha na pia kuikana rushwa ya viti maalum walivyohongwa na maccm, vinginevyo ni wa KUFUKUZA TU hawa.
Unasemaje? Wewe?

Pengine nimuulize Erythro. kuhusu mstari huu. Siamini nilichosoma toka kwako!
 
Hamna hoja uliyoandika zaidi ya kulialia tu, nimekuuliza kwani hao kina Hilda na Devotha kutaka hiyo nafasi kuna shida gani? Mdee alikuwa na hatimiliki nayo? wewe ndio unaweweseka.
Ngoja kwanza nikutathmini, nisije nikawa najadiliana na waruwaru:

1609310411964.png
 
Back
Top Bottom