Kina Hilda Newton na Devotha Minja waanza kukinyemelea kiti cha Halima Mdee Bawacha

Tuwaache waparurane watatibiwa Mnyamala
 
Mzee Halima unahangaika sana

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 

Hili la ukaskazini ni hoja yenye angalizo muhimu.
 
Kwanini ametafuta lizee na vijana tupo?
Atakuwa na hulka ya gerontophilia--the tendency of erotic love for elders.
Lakini pia, hata wazee wana haki ya kupendwa.
Kadhalika wanalo jukumu la kupenda.
 
Kwa hiyo sasa nyinyi ni nini hasa mnachotaka kutoka CHADEMA,

-ubunge? (tayari mnao na mmeahidiwa kulindwa).

-Uanachama?, upi wakati mmekiuka kwa makusudi misimamo na falsafa za chama?

Hivi Mdee et al hawakulalamika kuibiwa kura na kukiri hadharani kwamba ule uchaguzi ni batili na haramu?
 
Hili la ukaskazini ni hoja yenye angalizo muhimu.
Baraza la mawaziri la Magufuli kuna waislamu watatu tu na hakuna Mzanzibar.

Hizo porojo za ccm hazina mashiko, wachaga kiasilia walishaikataa ccm miaka mingi sana na ndio icon ya upinzani Tanzania, mkatae au mkubali huo ndio ukweli.
 
Ukila pesa ya ccm ni lazima ufuate maelekezo unayopewa otherwise utaumia.

Wanachokifanya haww nu maelekezo maalum ya kuwatowa Watanzania kwenye reli wasahau dhulma iliyofanywa na ccm kwenye uchaguzi na kuitowa Chadema kwenye mstari wao ndio wageuke kuwa ndio Agenda ya Chadema.

Ukumbuke Maalim Seif wameshamalizana naye ila shida iko Chadema na hasa Tundu Lisu ndio anawanyima usingizi.

Nadhani wengi mtakuja kumuelewa vizuri Lisu aliposema anabadiri uwanja wa Mapambano, huwezi kupambana na ccm halafu mikakati ndio unapanga na hawa kina mama Amon.

Mkumbuke licha ya Bibi Titi kushiriki harakati za uhuru lakini Nyetere alimtia jela kwa kosa la uhaini.

Huyu mama Amon na wenzake kina Halima ni wahaini kwenye serikali yangu watu wa aina hii wanapigwa risasi hadharani au wananyongwa hadharani.

Hakuna mwanamke yeyote kati yao aliyepambana kumshinda Bibi Titi.
 

Wote mnafundishwa na mwalimu mmoja(Mshauri) lakini kwenye kujibu swali kila mtu anatoa kulingana alivyoelewa majibu hayafanani hata iweje na ndio maana Balaza la mitihani wanaweza kugundua kina nani walioiba mitihani kwa sababu ya majibu kufanana!! Hata mshauri awe mmoja kujibu tuhuma majibu hayawezi kufanana mastari kwa mstari hadi nukta.
 
Ukila pesa ya ccm ni lazima ufuate maelekezo unayopewa otherwise utaumia...
Ndio maana mimi ninapendekeza hili jambo limalizwe mapema, watu wamefukuzwa imeeleweka.

Haya mambo ya kusubiri maamuzi ya kamati ya rufaa kwa muda zaidi, ni kuendelea kuwapa uwanja kina Mama.

Amon
kuvuruga chama kama wanavyoelekezwa na dola.
 
Katika suala la sasa, sioni compliance failure unayojaribu kuiongelea kwa upande wa kina Mdee inaanzia kifungu gani cha kikanuni.
Ndio maana mimi ninapendekeza hili jambo limalizwe mapema, watu wamefukuzwa imeeleweka.
Haya mambo ya kusubiri maamuzi ya kamati ya rufaa kwa muda zaidi, ni kuendelea kuwapa uwanja kina Mama Amon kuvuruga chama kama wanavyoelekezwa na dola.

Anayevuruga chama ni Kubenea na magazeti yake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…