CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,167
- 24,129
Najua kuna wanawake humu wanakubaliana na mimi kuwa kuna wenzao wameumbwa wakaumbika,Yani engineera aliyewaumba wao hakuchakachua cement wala tofali wala nondo, Ratio na Cement na mchanga ilikua kwa kipimo sahihi.
Hao wanawake wamejazana mitaani,akipita mbele yako hata kama unamuongoza mtu sala ya TOBA unaweza ukaweka Pause kidogo,huyu kiumbe apite tena apotelee asionekane,hakka viumbe vya namna hiii Engeneer alilipwa kwa wakati na tenda ilifanyika kwa wakati.
Sasa nikirudi kwenye Mada mimi staki kusema sana kwakweli katika sehemu wanaume tunatakiwa tuwekeze katika maombi ni kwenye eneo hili la kuwaombea hawa viumbe,ebu katika maombi yako leo na siku zote zijazo tenga ka muda ka kuombea "usalama wa afya za hawa watu"
ki ukweli Mungu awalinde,awaepushe na magonjwa ving'ang'anizi kama UKIMWI na mengineyo,Unajua hv viumbe vinapoathirika kwakweli tunao umia ni sisi macho juu juu tusio ona tabu kuhonga hata gari ili ku pata japo ka 1 tu,Please guys Maombi Maombi Maombi.
Nasisitiza Maombi juu ya hivi viumbe, Malaika wa kas,kus,mash,magh aende akawazingire awalinde virusi vidunde visikae,maana virusi vikijenga kambi waumiaji n Wake zetu huko majumbani wasio hata na hatia.
Enyi kina baba kina kaka hata nyie kina mama na kina dada mnaweza ungana pamoja nasi kuomba ulinzi wa afya za hawa viumbe ambao si wengi,ila effect zao ni hatari.
Ushndwe na ulegee wewe kijana mwenye pango wa kwenda mpa huyu kiumbe virusi ili kumkomoa,nataka kukwambia humkomi yeye unamkomoa mpaka na mke wangu asie na hatia hivyo nakukemea sasa Ushindwe tena ushndwe wazo lako lipeperuke,ukimwi n wako baki nao mwenyewe pambana nao mwenyewe.
EEH baba linda hawa viumbe linda mapitoo yao waletee vibopa wasio na magonjwa walinde baba Walindeee,wawekee antivirus kwenye damu zao Ugonjwa mkuu kwao uwe MAFUA tu. na wote tuseme Ameen.
NOTE:
sijaweka picha kwa usalama wangu binafsi na wa wenzangu wenye matatizo ya macho wanapoona hivi viumbe akili hupeperuka,sitaki kuhusika kwa namna yeyote kujeruhi ambao hawana hatia.
Maombi yaendeleee.