Kina Kaka Kina Baba,ebu tuingie kwenye Maombi Tuwaombee wanawake wote Waliojaaliwa...

Kina Kaka Kina Baba,ebu tuingie kwenye Maombi Tuwaombee wanawake wote Waliojaaliwa...

Nakumbuka nikiwahi kua na manzi mmoja ana zinga la wowowo aisee ingawa sura haikua fresh kivile ila tako lile lilikua hatari kuna nguo zingine mwanamke akivaa tako lote linatokeza basi nikikatiza nae kariakoo watu full kuangalia wengine kuvuta vuta mikono etc..ukienda nae viwanja sasa watu wanaanza kutia sound ila inataka moyo inabidi uwe calm na yeye alikua anajijua yupo attractive..siku moja nimetoka naye out kwenye pool nini watu wanamsarandia nikaona ebanaee pool kuna watoto wakare kibao ngoja niseme nae mmoja kumbe anapiga kijicho kule mzee wa kazi nasoundisha mtoto..."nilifurahi sana maana baadae alikuka ku admit kwamba alifeel jealousy" nikamwambia sasa yule alinisemesha maana niliona wewe upo busy na wana..ningefanyaje? Mara kuniuliza kwaio ndo umechukua namba yake enh? Hahaha kua na mademu walioumbika kuna changamoto zake...inabidi uwe mtu wa kupotezea na kutojali sana..
Mpenzi wangu akiwa hivyo siendi nae sehemu za watu toa toa macho

ambao hawajazoea kuona mapaja au wowowo au mwanamke mzuri

naenda nae only sehemu ambazo hamna mtu atamshangaa maana vivutio

maeneo hayo ni vingi kiasi kwamba mpenzi wangu anaonekana ka ebitoke tu.
 
Msitutenge hivyo jamani!, kabla hamjasema aimennn mtukumbuke sie wenye maumbo bapa
Tuungane kuwaombea wenzetu mama,sio lazima wote tuwe wachezaji

wengine tujitahidi kuwa washangiliaji tena kwa bidii zote yani hadi sauti zikauke.
 
Back
Top Bottom