Hao dada zako wenye hizo sura,wapo kwenye kundi la "wife material" Hapa tupo kweenye maombi kuwaombea hawa wengine ili tusije beba matakataka kuyafikisha kwa hao kina dada zako hao,sijui kama umenielewa.Kwahivyo sisi wenye dada wenye sura kama zetu wamebaguliwa ktk sala ya kuwaombe ulinzi dhidi ya virus?
Sishangai huu ubaguzi maana maandiko matakatifu yamesema mwenye nacho huongezewa.
Yani ukiwa na mwanamke ambaye ameumbika aisee raha sana.. unajiona mtu safi sana umebarikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutazungumza kwenye kikao cha familia 😂 😂Ujinga upi mdogo angu karena 😂
kwann mnatembea nao hivi,hao n mapambo ya nyumba Fungieni humo ndaniHujui tu presha za wamiliki mkuu.
Ukitembea na msichana mrembo yaani wewe huonekani vidume eote macho kwake....acha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kaka kwa hili nitawahi kabla ya muda wa kikao nakuhakikishia hakutakua na dharula leo hadi mwisho wa kikaoTatizo lako muda wa kikao ukifika huonekani,Dharura kibaoooo 😂
MmmhhhNyie mko ndani ya Ndoa, Material wife wapo kundi hilo "Hatuna shida na nyie" tayari Mnajielewa ndio mana tumewavuta ndani mapemaaaa....
Hahahaaa haya kaka angu peke anguYangu macho mimi yani