robert sendabishaka
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 3,144
- 3,338
hizo ndizo za kisasa, wao hujiita flat screen, sio puto za kichina. niko kwaajili yao kuwafariji[emoji23][emoji23]Msitutenge hivyo jamani!, kabla hamjasema aimennn mtukumbuke sie wenye maumbo bapa
Hallelujahhizo ndizo za kisasa, wao hujiita flat screen, sio puto za kichina. niko kwaajili yao kuwafariji[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpenzi wangu akiwa hivyo siendi nae sehemu za watu toa toa machoNakumbuka nikiwahi kua na manzi mmoja ana zinga la wowowo aisee ingawa sura haikua fresh kivile ila tako lile lilikua hatari kuna nguo zingine mwanamke akivaa tako lote linatokeza basi nikikatiza nae kariakoo watu full kuangalia wengine kuvuta vuta mikono etc..ukienda nae viwanja sasa watu wanaanza kutia sound ila inataka moyo inabidi uwe calm na yeye alikua anajijua yupo attractive..siku moja nimetoka naye out kwenye pool nini watu wanamsarandia nikaona ebanaee pool kuna watoto wakare kibao ngoja niseme nae mmoja kumbe anapiga kijicho kule mzee wa kazi nasoundisha mtoto..."nilifurahi sana maana baadae alikuka ku admit kwamba alifeel jealousy" nikamwambia sasa yule alinisemesha maana niliona wewe upo busy na wana..ningefanyaje? Mara kuniuliza kwaio ndo umechukua namba yake enh? Hahaha kua na mademu walioumbika kuna changamoto zake...inabidi uwe mtu wa kupotezea na kutojali sana..
Hallulujahhizo ndizo za kisasa, wao hujiita flat screen, sio puto za kichina. niko kwaajili yao kuwafariji[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi najiombea mwenyeweTuungane kuwaombea wenzetu mama,sio lazima wote tuwe wachezaji
wengine tujitahidi kuwa washangiliaji tena kwa bidii zote yani hadi sauti zikauke.
πππ, tupo pamoja, naunga mkono hoja kwa mara nyingine.Ameen, Niko kwenye 4 DRY yani zile kavu (no maji no kumeza mate) ni mimi na Mungu mpaka anisikie nasema.
Yaan ww jamaa ni Chenga kinomaHuyu Huyu yani mama D [emoji23]
Yaani sometimes naacha pikipiki ili nipande daladala niwaone watoto wakali. Duuuu, mimate kama yotewote hao mkuu n wakuwaombea "ulinzi wa malaika uwe pande zote"
π π π π una ujingaaaAmeen, Niko kwenye 4 DRY yani zile kavu (no maji no kumeza mate) ni mimi na Mungu mpaka anisikie nasema.
Nawe ni miongoni mwao wanaoombewaMweeeeeeh!! Mtuombee na sisi jamani, unyanyapaa ni dhambi[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]