MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,410
- 8,184
Wataolewa na nani ikiwa wanataka kuolewa na wenye pesa tu, ambao ni wachache??
Ni kweli Hakuna mwanamke anaekosa ofa za kuolewa, hivyo wafundishwe uhalisia wa maisha kwamba vibosile hawapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataolewa na nani ikiwa wanataka kuolewa na wenye pesa tu, ambao ni wachache??
Ukishaamua kuwa Feminist tu huwezi kuishi na mwanaumeNi kweli wanawake wengi wasio na familia ni ma feminist
Sheria yetu ya ndoa ya 1977 inasemaje kuhusu umri wa kuolewa? Sheria za kumtambua mtoto zinasemaje? Kuna contradiction za kisheria... kuna changamoto za kimtaala kuhusu aina na malengo ya elimu tunayotoa, kipindi cha nyuma kulikuwa na masomo kama sayansi kimu...Basi Ile solution ya watu WA pwani itumike ...waolewe mapema ...huku wanaendelea na shule...