mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Mimi kuna Mangi namjua ameanza na kaduka kadogo tu ka reja reja mwaka 2008 baadae akafungua la jumla mara godown lake mara ana lodge sijui hata alifanyaje fanyaje kufikia hapo maana wenzake alioanza nao wanaishia kupata hela za kula tu.Niliwah muuliza Mangi m1 anaendeshaje duka lake alichonijibu nikaamini ni kwel..akasema yy hagusi kbs hela ya dukan..akasema ukiitegemea hela ya dukan iendeshe maisha yako ur completely finished...!nikaiacha kwa amani kbs
Ila ninachojua tu yule Mangi ni bahili wa kufa mtu na mambo ya starehe hanaga,pombe hanywi na wanawake ndo huwezi kumsikia huko yuko na mkewe tu.
Na ni chalii tu wa miaka 36.