Kina Mangi njooni tubadilishane uzoefu. Tushirikiane.

Kina Mangi njooni tubadilishane uzoefu. Tushirikiane.

Niliwah muuliza Mangi m1 anaendeshaje duka lake alichonijibu nikaamini ni kwel..akasema yy hagusi kbs hela ya dukan..akasema ukiitegemea hela ya dukan iendeshe maisha yako ur completely finished...!nikaiacha kwa amani kbs
Mimi kuna Mangi namjua ameanza na kaduka kadogo tu ka reja reja mwaka 2008 baadae akafungua la jumla mara godown lake mara ana lodge sijui hata alifanyaje fanyaje kufikia hapo maana wenzake alioanza nao wanaishia kupata hela za kula tu.

Ila ninachojua tu yule Mangi ni bahili wa kufa mtu na mambo ya starehe hanaga,pombe hanywi na wanawake ndo huwezi kumsikia huko yuko na mkewe tu.

Na ni chalii tu wa miaka 36.
 
Mnapambana vp na madeni
Ukishaweka msimamo wa kutokopesha huezi kukopesha. Mtu humwambii sikopeshi, ila unampa maneno mazuri ya kumridhisha. Mwambie hali ngumu bidhaa zenyewe nachukua kwa mkopo inatakiwa kesho nirejeshe. Ataondoka akiwa ameridhika kabisa. Na kesho atarudi kununua. Ila mwingne ukimkopesha jua umemfukuza duka.

Japo kuna baadhi unakuta waaminifu na mnaheshimiana.
 
Halafu mbinu nyingine yakukuza mtaji kama mtaji ni mdogo nikuselect baadhi ya vitu vichache ambavyo vikisha utatoa faida nakufanya nayo matumizi binafsi ama kuweka akiba, kwa mfano waweza anzisha biashara ya miamala kama tgo airtel voda sasa hapa faida utakayoipata kwa hii miamala waweza fanya nayo matumizi huku ile faida inayopatikana kwa vitu vilivyosalia ikiendelea kujiongeza kwenye mzunguko wa duka sana sana waweza toa 20 ama 30k kila mwezi kutenga kodi.... Kiasi utakachotenga kwa kodi kitategemea na kodi unayo chajiwa
Bro huwa nakuona pia kwenye lile jukwaa letu pendwa la wazee wa kubahatisha aka wazee wa kuweka mzigo. Kama unaweza kubalance hizi biashara wewe mkali
 
Faida ni asilimia 10 , ukiuza laki na ukachukua 20000 , ujue umechukua 10000 ya mtaji. Likifa duka usilaumu, kwani umegeuka kuwa chuma ulete wa duka lako
So ndio maana hawa jamaa wapo lazi kula maandazi mchana siku ipite tu 🤣 🤣 😎 pia kama unaweka mke hakikisha ananyoa nywele kichwani maana fashion ndio kirusi cha mtaji 🤣 🤣
 
Haaa na hapo hapo sio kuchukua tu heka hovyo hovyo kaa mbali na starehe kwa kutumia hela ya duka usisahau kukaa mbali na watoto wazuri pia maaana hao watakumaliza tu.

Mm Sina starehe ila napenda kuwa na uhuru na pesa yangu aisee..wengine tuko radhi kwenda mkoa mwingine kula bata✌🍷
 
So ndio maana hawa jamaa wapo lazi kula maandazi mchana siku ipite tu 🤣 🤣 😎 pia kama unaweka mke hakikisha ananyoa nywele kichwani maana fashion ndio kirusi cha mtaji 🤣 🤣

Maskini...duh...kweli kupanga ni kuchagua
 
So ndio maana hawa jamaa wapo lazi kula maandazi mchana siku ipite tu 🤣 🤣 😎 pia kama unaweka mke hakikisha ananyoa nywele kichwani maana fashion ndio kirusi cha mtaji 🤣 🤣
Kuchukua hela kwenye biashara yoyote unatakiwa uchukue kimahesabu hata kama ni biashara kubwa vipi. Utashangaa biashara inabaki tu constant haikuwi then mwisho wa siku inaanza kufa.
Wapo waliojenga, kusomesha na kufungua biashara nyingine kwa kuuza madunga ya kina mangi
 
hizo fanyeni tu kwakweli...! nitafte 500 faida yabkiberiti?ohh big no
Kama uliifanya hii biashara, basi uliingia pasipp kuwa na strategies za muhimu.
Kuna vitu unatakiwa uvitegemee ndio vikuletee faida sio kibiriti, vocha, wembe sijui mshumaa hivyo vinawekwa tu ili mteja akija dukani kwako asikose kitu.
Vitu vya kutegemea ni kama mchele, sukari, maharage, vinywaji, mafuta ya kula na vile ambavyo unauza frequently.
 
Sijui nikuambieje...unachukua mchele mashine kilo mia unahangaika na 200 kila kiĺo..maharage nayo vile vule...jaman...hyo hela ya kunisukuma mbele na maisha naipata lini...hapana...endeleeni
 
Bro huwa nakuona pia kwenye lile jukwaa letu pendwa la wazee wa kubahatisha aka wazee wa kuweka mzigo. Kama unaweza kubalance hizi biashara wewe mkali
Ni kweli mkuu ni masuala ya nidhamu zamani ilikua inanishinda ila saivi yaani sigusi hata senti labda nichukue faida kidogo kwa matumizi mengine
 
Ukishaweka msimamo wa kutokopesha huezi kukopesha. Mtu humwambii sikopeshi, ila unampa maneno mazuri ya kumridhisha. Mwambie hali ngumu bidhaa zenyewe nachukua kwa mkopo inatakiwa kesho nirejeshe. Ataondoka akiwa ameridhika kabisa. Na kesho atarudi kununua. Ila mwingne ukimkopesha jua umemfukuza duka.

Japo kuna baadhi unakuta waaminifu na mnaheshimiana.
Nimepata point nzur sana hi..naomba na nyingne jins ya kumridhisha mteja anaetaka kukopa
 
Ni kweli mkuu. Tathimini muhimu sana, nilijaribu kuandika badae nikashindwa.... Uvivu. Ila nitaanza tena.
Nilichofanya niliandika kila nilichokuwa nauza kila siku kwa sku 3 then nikaculculate faida nlopata kwa kila nlichouza, mwisho wa sku nikapata total faida, nikajua faida ya kila sku kwa makadilio. Ndo nikaja na maamuzi ya kuwa nasev hicho kiasi.
Kujua faida ya kila siku kwa duka LA rejareja /mangi shop ni ngumu sana
 
Pia inahitaji roho ngumu na ya ubinafsi + kujinyima kwa sana katika starehe zisizo za msingi...hapo utaweza kuhimili mikiki mikiki ya pesa ya frame..kodi TRA..leseni ya biashara jiji..tax leavy..mlinzi was duka...umeme na maji..wewe mwenyewe ule na ujilipe + ulikopanga chumba cha kulala..umeme wa kule na maji...

Vinginevyo utakosana na ndugu,jamaa na marafiki na hata familia...kumbe unaipa biashara mzgo mzito sana
 
Na mm mkuu..japo kuna siku naenda had 80, ila niseme wastani ni 40 kwa siku
40 ni hasara maana unakuta faida yake ni 6000-7000 kutegemea na bidhaa uliyouza...so to a pesa ya kula asbh na mchana...toa nauli ya kuja na kurudi..pango..kodi na mengineyo

Ina maana ukiendelea na hiyo trend itafika mahala utakosa pesa ya kuhemea na ngazi zinadai magap kibao kumbe ulikuwa unalila pasina kujua..

N.b
Biashara ni Sanaa katika hesabu sio sayansi katika hisabati
 
Back
Top Bottom