Aisee umegusa penyewe, kwenye biashara yoyote ile ni kinachowaangusha watu ni detail ndogo ndogo sana ambazo wanazipuuza, Wahindi na Waarabu wamefanikiwa sana sababu ya attention to details, discipline
Waafrika wote tungeukuwa makini hivi tungekua mbali sana
Yeah ila kuna mikoa hawawezi kabisa kufungua hata genge la nyanya chungu bila kwenda kwa fundi.Asante kwa mfano hai. Ndumba mwisho wake sio mzuri mara nyingi.
Kuna ukweli hapo ila kataa kubali hawa jamaa walikuwa wanatoboa sababu ya kukwepa kodi, hasa bandarini, kuna wahindi mwanza pale walikuwa na stationery kama tatu mjini kati rimpepa zile walikuwa wanauza karibu nusu bei na walikuwa wanauza balaa mpaka magu, ukerewe, Geita, Bukoba, mara visiwani huko wanatuma mizigo, saivi ukioneshwa ndio wenyewe utapinga mpaka unaingia kaburiniWahindi kwny maduka yao customer care ni ya kisenge tu,sema tu jamaa wamefanya biashara kwa muda mrefu wana connections na financial displine ya kutosha.
Naonaga waha wakija mjini toka Kigoma wana anza na kaduka kadogoooo na analala humo humo dukani utamuona tu na kajiko kake ka mafuta ya taa na gunia lake la dagaa ambalo ametoka nalo kigoma ndo msosi wake huo na likiisha baada ya muda anapiga simu Kigoma linaletwa jingine kwa treni,ila baada ya miaka 3 au 4 unasikia amejenga ana ka usafiri..Yeah ila kuna mikoa hawawezi kabisa kufungua hata genge la nyanya chungu bila kwenda kwa fundi.
Hakuna kitu inakera kama madeni aisee kwenye biashara. Unapoanza biashara yako watu watakuja na Cash kwawingi na kukupa moyo, kadri siku zinavyosonga mbele wakishazoeleka wanaanza sasa kuja kukopa. Ukizingatia mtaji wako ni mdogo unategemea uukuze kwa kuzungusha hela yako, ila kila ukipiga hesabu unakuta hela asilimia kubwa iko mikononinmwa mwatu kuliko uliyo nayo mkononi.Mnapambana vp na madeni
Hahaha waha ndio wafanyabiashara mashuhuri huko Geita, Kahama, Bukoba mpaka Mwanza wanasifika kwa uchakarikaji na kiukweli wanafanya kazi haswa ila mitishamba utamuua ukimuambia aacheNaonaga waha wakija mjini toka Kigoma wana anza na kaduka kadogoooo na analala humo humo dukani utamuona tu na kajiko kake ka mafuta ya taa na gunia lake la dagaa ambalo ametoka nalo kigoma ndo msosi wake huo na likiisha baada ya muda anapiga simu Kigoma linaletwa jingine kwa treni,ila baada ya miaka 3 au 4 unasikia amejenga ana ka usafiri..
Ila pia kwa mitishamba wako vzr sana.
Sawasawa kabisa mkuu,hpo kwny kukwepa kodi hao ndio ma master,sisi weusi kukwepa kodi tunasingiziwa tu bado hatujakomaa vzr.Kuna ukweli hapo ila kataa kubali hawa jamaa walikuwa wanatoboa sababu ya kukwepa kodi, hasa bandarini, kuna wahindi mwanza pale walikuwa na stationery kama tatu mjini kati rimpepa zile walikuwa wanauza karibu nusu bei na walikuwa wanauza balaa mpaka magu, ukerewe, Geita, Bukoba, mara visiwani huko wanatuma mizigo, saivi ukioneshwa ndio wenyewe utapinga mpaka unaingia kaburini
Zipo factors nyingi zinazochangia mafanikio kwenye biashara ila zipo nyingine zimejificha sio rahisi watu wazishtukie japo utajaribu kumuiga kila kitu.
Hahaha waha ndio wafanyabiashara mashuhuri huko Geita, Kahama, Bukoba mpaka Mwanza wanasifika kwa uchakarikaji na kiukweli wanafanya kazi haswa ila mitishamba utamuua ukimuambia aache
Halafu ni Mentality tu ya hovyo Watanzania tunaendekeza tayari watu wana imani kubwa kwamba bila ndumba hawatoboi kama huko Njombe ndio balaa sababu kule wana uchawi mpaka wa kuhamisha mazao kwenye mashamba ya watu.
Hahaha babu kule kuna uchawi wa rejareja tena sio huo tu sababu huo mpaka mbeya upo, kuna uchawi mpaka wa kuhamishiwa mkojo, yaani mpo vilabuni huko mnakunywa mataputapu kuanzia mchana mpaka usiku ila huwa kuna wazee hawaamki kwenda chooni kuanzia mwanzo wa gambe mpaka mwisho πππHahah huo uchawi wa kuhamisha mazao kwenye mashamba ya watu sijawahi kuusikia,na unafanya kazi fresh kwny mashamba ya watu?
Hongera sana mkuuHabari wadau,
Wale wenye maduka ya bidhaa za rejareja (mangi) tukutane hapa tubadilishane mawazo kidogo, tujadili ili kila mmoja aiweke biashara yake kwenyw kipimo kwa kulinganisha na wengine ili tuweze kuboresha zaidi.
Binafsi sina duka ila nna kijiduka au kibanda nilichokianza baada ya kupoteza kazi yangu niliyokuwa nayo mwanzo,
Wakuu mi nitagusia mambo yafuatayo;
1. Mauzo.
Hapa tujue mauzo ya kawaida kwa siku.
Mimi binafsi siku hazilingani, siku za j3 na j4 mauzo hushuka sana na kufikia angalau 120K kwa siku. Siku zingine hupanda kidogo mpaka kwenye 170, 150,... Siku za jmos na jpili mauzo hufika laki mbili au zaidi kidogo kwa siku.
2. Ushindani.
Hapa wakuu tushee picha halisi ya mazingira tunayofanyia biashara, na unakabiriana vipi na changamoto ya ushindani.
Binafsi mi nilipo nilikuta maduka mawili, mimi nikawa wa tatu. Mmoja wetu ana duka na genge, hivyo wateja wengi hupenda kwenda pale kwa sababu wanapata huduma zote kwa pamoja. Mi niliona nifanye tofaut, nikamix bidhaa za kawaida na nyingne kama baadhi ya vifaa vya umeme (taa, holder,..) Makufuli, etc.. maana niliona huduma hizi hakuna hapa mtaani, imenisaidia kufanya nizoeleke maana wateja wengine huja kufata vitu hivyo baada ya kuvikosa kwa hawa wenyeji.
3. Imani.
Wengi uhuhusisha hizi biashara na imani za kishirikina, na huenda sana kwa waganga kutafuta kitu kinachoitwa mvuto au king'amuzi.
Binafsi naamini hayo mambo yapo na watu wanachangamsha sana biashara zao kupitia mambo haya. Lakini mimi sijawahi kujihusisha na sina mpango sababu mambo haya huchukua hela nyingi na ukishayaanza ni ngumu kuacha. Vile vile mwisho wake mara nyingi sio mzuri.
Je nyie wadau mnalichukuliaje suala hili? Je wewe huwa unaenda?
4. Faida. Je hii biashara ina faida? Na ni kiasi gani? Unaijuaje au unaiona kwa namna gani hiyo faida?
Binafsi huwa sicomplicate, kila siku nachukua elf 20 naweka akiba. Haijalishi nimeuza kiasi gani.
Chakula cha kupika kinatoka dukani pamoja na mahitaji mengine, (hiyo yote ni faida). Lakini ninatoa kwa umakini sana. Na biashara yangu haijawahi kurudi nyuma, zaidi naongeza bidhaa mpya na kupanua kidogo kidogo.
Nawakaribisha wote wenye biashara ya namna hii tujadili, tubadilishane uzoefu, tufundishane, tufunguane, tunaeza pia kugusia na mengine zaidi kama namna ya kununua bidhaa, sehemu za kununua na mengine mengi.
Karibuni.
Kuna ukweli hapo ila kataa kubali hawa jamaa walikuwa wanatoboa sababu ya kukwepa kodi, hasa bandarini, kuna wahindi mwanza pale walikuwa na stationery kama tatu mjini kati rimpepa zile walikuwa wanauza karibu nusu bei na walikuwa wanauza balaa mpaka magu, ukerewe, Geita, Bukoba, mara visiwani huko wanatuma mizigo, saivi ukioneshwa ndio wenyewe utapinga mpaka unaingia kaburini
Zipo factors nyingi zinazochangia mafanikio kwenye biashara ila zipo nyingine zimejificha sio rahisi watu wazishtukie japo utajaribu kumuiga kila kitu.
ππππ niuzie super glue moja mkuuHiyo biashara siyo kabisa yaani duka liliisha mpaka Leo nina super glue, uzi wa kushonea nguo, pins kibao ndani.
Ila kuna biashara hata ukitoa laki 2 hautetereki wala kugusa mtaji.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] niuzie super glue moja mkuu
Vipi alishakujibu? [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu,
Waweza japo kunijuza kuhusu hiyo biashara,
Nami nipambane ?
Hilo la Imani na mambo ya kishirikina litakuangusha usipokuwa makini. Nasema hivi kwa sababu kwenye biashara HAKUNA ushirikina. Huduma yako nzuri kwa wateja ndiyo ushirikina. Kwa uchunguzi wangu ni kuwa maduka mengi Bongo customer care zao ni majanga. Hili la ubovu wa customer care ni jambo common kiasi cha ku weza kuliandikia kitabu kikubwa kama biblia. Baadhi ya tabia mambo mabovu:
1. Dukani kwa nje kukaa watu (hasa vijana) wasio na kazi na kuangalia/kusikiliza kwa udadisi kila anayekuja dukani
2. Wenye maduka kuhudumia wateja huku wanafanya shughuli nyingine kama kuzungumza na simu etc
3. Kauli chafu za wauzaji
4. Kutokuandaa chenji za kutosha hivyo kulazimika kurudisha baadhi ya wateja au kuwachelesha.
5. Kuhudumia kwa dharau wateja wanaonunua mali za bei ndogo
6. Kuuza vitu vyenye hitilafu kwa ujanja ujanja au kurudisha chenji za noti mbovu bila kujali kuwa mteja asiporidhika leo kesho harudi tena
7. Wenye duka wanaume kutongoza wasichana wanaokwenda dukani eg ma-house girls
8. Kutoa majibu ya mkato na kukasirika wanapokutana na mteja msumbufu
9.
10.
11. Kuna mengi sana unatakiwa uzingatia.
πππ manengelo maisha yenyewe mafupi na pesa haijai so unachagua biashara ya akili na siyo ya kujibana.Mm Sina starehe ila napenda kuwa na uhuru na pesa yangu aisee..wengine tuko radhi kwenda mkoa mwingine kula bataβπ·
πππ manengelo maisha yenyewe mafupi na pesa haijai so unachagua biashara ya akili na siyo ya kujibana.
Manengelo wewe watadhani unataka pesa za chap kumbe pia kupata za chap ni akiliKweli Rafiki
Manengelo wewe watadhani unataka pesa za chap kumbe pia kupata za chap ni akili