Kina Mangi njooni tubadilishane uzoefu. Tushirikiane.

Hatutofautiani sana mimi frame niliopo zipo tatu ya kwanza duka la dawa ya pili duka la mabitaji ya nyumbani na latatu lakwangu mahitaji ya nyumbani bado eneo hili hili lina frame zakutosha yani mzunguko ni mdogo hapa inahitajika ubunifu wa hali ya juu nategemea kupitia huu uzi kuna vitu na ubunifu naeza pata, aksante.
Mimi nilianza kufanya biashara sehemu moja sinza, nilikod frem elf 80. Mwisho nilishindwa kulipa kodi maana mauzo yalikuwa madogo sana. Ndo nikaamua kutafta sehemu yenye watu wengi.

Hapo ulipo kama hakuna genge unaeza ukadizaini kibanda hapo nje ukaeka na bidhaa za gengeni kama unaweza kuzipata kwa urahisi. Hii itawavutia wateja maana mtu atakuja kwako kununua mchele akijua kuwa na nyanya atapata hapo hapo.
 
Kuna best friend wangu aliniomba elfu kumi nauli tu nikampa wewe nliiwaza balaa, wakati kupeana hela kama hizo kwetu ni kawaida tu, jumapili nkiagiza kitimoto ukifika kununua dumu la mafuta ya kula napata mawazo,.
hii mm hata bure siirudii..eti uweke kwa sk 20 haipo hyo..jua.utafeli tu kuleta mzigo...yaan ukikaza sana uweke 10 per day..! mie naijua ndan nje..! ht nipewe 10m siifanyi ng'o..jiashue unaumwa uchukue 30 UMEKWISHAA[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu mbinu nyingine yakukuza mtaji kama mtaji ni mdogo nikuselect baadhi ya vitu vichache ambavyo vikisha utatoa faida nakufanya nayo matumizi binafsi ama kuweka akiba, kwa mfano waweza anzisha biashara ya miamala kama tgo airtel voda sasa hapa faida utakayoipata kwa hii miamala waweza fanya nayo matumizi huku ile faida inayopatikana kwa vitu vilivyosalia ikiendelea kujiongeza kwenye mzunguko wa duka sana sana waweza toa 20 ama 30k kila mwezi kutenga kodi.... Kiasi utakachotenga kwa kodi kitategemea na kodi unayo chajiwa
 
Kuna best friend wangu aliniomba elfu kumi nauli tu nikampa wewe nliiwaza balaa, wakati kupeana hela kama hizo kwetu ni kawaida tu, jumapili nkiagiza kitimoto ukifika kununua dumu la mafuta ya kula napata mawazo,.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] changamoto huwa ipo, hasa kikiisha kitu kikubwa. Huezi amini mimi dumu la mafuta huwa halizidi sku mbili, nikileta dumu basi nayapaki kwenye machupa ya lita moja yale ya maji napanga mezani watu wanabeba tu. Hivyo hela ya mafuta huwa siichanganyi na nyingne maana kila baada ya sku 2 inatakiwa elf 49 ya dumu iwepo.

Anyway tushirikishe basi hiyo biashara yako ya saivi
 
Niliwah muuliza Mangi m1 anaendeshaje duka lake alichonijibu nikaamini ni kwel..akasema yy hagusi kbs hela ya dukan..akasema ukiitegemea hela ya dukan iendeshe maisha yako ur completely finished...!nikaiacha kwa amani kbs
 
Ukitaka uione faida ya duka Epuka kuchukua tu hela ya duka bora ujitengee uwe unatoa kiasi fulani kwa mwezi kulingana faida utakayokuwa unazalisha kwa mwezi sio leo unachukua Elfu 20 kesho kutwa Elfu 30 hapo lazima tu utafeli.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] changamoto huwa ipo, hasa kikiisha kitu kikubwa. Huezi amini mimi dumu la mafuta huwa halizidi sku mbili, nikileta dumu basi nayapaki kwenye machupa ya lita moja yale ya maji napanga mezani watu wanabeba tu. Hivyo hela ya mafuta huwa siichanganyi na nyingne maana kila baada ya sku 2 inatakiwa elf 49 ya dumu iwepo.

Anyway tushirikishe basi hiyo biashara yako ya saivi
Hakuna fremu hapo next door nije nami kujaribu duka kalako?
 
Hiyo biashara siyo kabisa yaani duka liliisha mpaka Leo nina super glue, uzi wa kushonea nguo, pins kibao ndani.
Ila kuna biashara hata ukitoa laki 2 hautetereki wala kugusa mtaji.
Niliwah muuliza Mangi m1 anaendeshaje duka lake alichonijibu nikaamini ni kwel..akasema yy hagusi kbs hela ya dukan..akasema ukiitegemea hela ya dukan iendeshe maisha yako ur completely finished...!nikaiacha kwa amani kbs
 
Mafuta hata mie baadae nikawa nafanya hivo maana hakuna kitu kinachokata haraka dukani kama mafuta ya kula.

Back
Top Bottom