Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Nakumbuka miaka 3 nyuma dunia ilishuhudia (COVID) HOMDA ambayo ilitaka dunia kujifungia kwa lengo la kuharibu uchumi wake "planned stories" siwezi kukataa hundred percent kwamba ugonjwa haukuwepo na haujaua!laa hasha ila its determined effects was totally wrongly.
Imagine Ugonjwa huu uliuwa nchi za ulaya 2? Nakumbuka wakati ule maiti chache zilizokuwazikionyeshwa zilijipindua wkt wakichukuliwa/recodiwa na stori ya vita hii ya GAZA haina mashiko zaidi ya uvumi wa vyombo vya habari (western media) are top reporter kweny hii vita naomba nijibiwe swali dogo tu ikiwa wewe upo GAZA na unajua jeshi (kikundi) lako ni dhaifu hivi upo uwezekano wa kuchokoza vita na watu wako ukawaambia wabaki au wao wenyew kutokimbia muda wote huo?
UONGO MWINGI WASEME TU, WANATAKA KUITAWALA DUNIA ILI KUFIKIA MWISHO KWA KUMPA TAWALA SHETANI AONGOZE CHINI YA DOLA MOJA HZO SABABU NYENGINE NI KAMA SWALA LA NYONGEZA.