Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Ipi ni idadi ya ukweli?Kuna vita ya propaganda, hii ni moja ya vita ya kusambaza habari za uongo ili tu kugain kitu flani, Vita hii wapalestina wanaijua vizuri, Jiulize tu ni nani anahesabu idadi ya watu waliokufa? Na anatangaza kwa malengo gani? Sisemi watu hawafi, lakini hiyo idadi ni ya uongo.
Palestina wanatangaza watu wake waliouwawa, Israel inatangaza watu wake waliowawa, na mashirika ya misaada wanatangaza idadi ya pande zote.
Sasa muongo ni nani?