Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
nani kasema al aqsa ipo gaza? ipo east jerusalem. and every soon west Jerusalem inayotawaliwa na wayahudi itaungana na kuwa mji wa mtu mmoja na east Jerusalem inayotawaliwa na wapalestina, Mungu alishakataza kugawanya mji wa Yerusalem.Kwa kukusaidia tu, Al Aqsa haiko Gaza , iko Jerusalem, na waislam wanaswali huku wanalindwa na askari wa Israel. kaa ukijua hilo