Kinachoendelea GAZA idadi ya vifo vinavyoorodheshwa ni uongo mtupu!

Ipi ni idadi ya ukweli?
Palestina wanatangaza watu wake waliouwawa, Israel inatangaza watu wake waliowawa, na mashirika ya misaada wanatangaza idadi ya pande zote.

Sasa muongo ni nani?
 
mwaka 1914-50 vita,1960-80 decolonilization,1980-90 reform,2000-10 terrorist agenda,2011-30 war,media,desease(mass killing nd threats) kuna jambo linapangwa..mmarekan alitaka kuanza vita ya kiuchum na mchina wakaamue waiache kwanz ila wakaleta propaganda y ugonjwa.
 
Ipi ni idadi ya ukweli?
Palestina wanatangaza watu wake waliouwawa, Israel inatangaza watu wake waliowawa, na mashirika ya misaada wanatangaza idadi ya pande zote.

Sasa muongo ni nani?
vita vinaendelea wewe unatoa idadi y vifo vya taifa(kundi) lako huoni kuwa ni udhaifu huo?nakwambia tena hkna ukweli.
 
ninaamini wapalestina wamekufa zaidi ya hao walioorodheshwa.
 
Aliyeelewa anifafanulie
 
Wakati bibi lenu (bibi la waislamu) humu jukwaani linajitapa huku na huko jinsi Hamas "inawanyoosha" Israel, wewe mvaa gauni unakuja na kusema ni propaganda na Israel inampango wa kuitwaa Gaza.

bikra 72 takbiiiiir !!
Kinachofanywa ni propaganda natumai miaka 3 baadae ukwel utadhihirika" RAMADHANI MLA VICHWA VYA WATU" ndiyo stori hzo na huenda israel anatumia mbinu kutwaa GAZA yote.bh
 
Watu wa Gaza wakimbie waende wapi?

wanatokaje?
 
Watu wa Gaza wakimbie waende wapi?

wanatokaje?
kule chini Misri amefungua mlango wa kuingizia chakula tu ila hakuna pa kutokea. ila upande wa kusini mwa gaza ambako israel amesema waelekee, wanapakana na baba zao misri, wakimbilie misri tu au la wabake hapohapo wawe chakula cha mamba.
 
Hii mihemko na ushabiki wa kidini ndio unakufanya ukurupuke uandike nini sasa

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 

Propaganda ni nyingi mno,ila hamas hawata rudia tena huo upuuzi,magaidi wanadhani kutumia ugaidi ndio thawabu.
 
Kinachofanywa ni propaganda natumai miaka 3 baadae ukwel utadhihirika" RAMADHANI MLA VICHWA VYA WATU" ndiyo stori hzo na huenda israel anatumia mbinu kutwaa GAZA yote.

Hilo ndio lengo ila umechelewa sana kulifahamu,wakimalizana na gaza ni westbank waarabu lazima wateme bungo
 
Mijengo inashiahwa huko balaa
 
Kinachofanywa ni propaganda natumai miaka 3 baadae ukwel utadhihirika" RAMADHANI MLA VICHWA VYA WATU" ndiyo stori hzo na huenda israel anatumia mbinu kutwaa GAZA yote.

Vita imepangwa ili kuitwaa Gaza...bila shaka hii ndio mantiki ya uzi wako
 

Usingeenda mbali kujenga hoja yako. Ungeingia kwenye point ungefahamika tu.

Umetueleza tatizo tumekuelewa, lakini hujatupa ufumbuzi wa tatizo unaoufikiria wewe kuwa ni muafaka.
 
Usingeenda mbali kujenga hoja yako. ngeingia kwenye point ungefahamika.

Umetueleza tatizo tumekuelewa, lakini hujatupa ufumbuzi wa tatizo unaoufikiria wewe kuwa ni muafaka.
FaizaFoxy, poleni sana. naona mmepewa masaa 24 muondoke ama la mbaki muwe chakula cha mamba. kwani hamas wamejificha wapi mbona siwaoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…