Kinachoendelea GAZA idadi ya vifo vinavyoorodheshwa ni uongo mtupu!

Hii vita haikupangwa sema hamasi kaingia kwenye mtego na kajaa vizuri ndo maana kabla ya uvamizi kwenye tamasha la music kule jangwani Misri alimwonya israel kuhusu terror mobilization iliyokuwa inafanywa na viongozi wa hamasi israel akapotezea.mytake israel hakutegemea kama hamas attack ingekua kubwa hv

NB:Anayeamini hii ni propaganda ajaribu kuangalia live feed aljazeera ataelewa this war
 
FaizaFoxy, poleni sana. naona mmepewa masaa 24 muondoke ama la mbaki muwe chakula cha mamba. kwani hamas wamejificha wapi mbona siwaoni?
Hilo lisikipe wasiwasi kabisa, watu wameshijitolea mhanga siku nyingi sana.

Mimi nawashangaa nyinyi mnaohangaika. watu tunasherehekea leo kwa bmabiriani, wewe unasononeka.

Unafahamu maana ya :shaheed" katika Uislam? Kama haufahamu sitoweza kukusaidia zaidi kwani huwezi kufikiri kama tunavyofikiri sisi.
 

Shaheed huwa ina motive gani behind maana that beliave ni ngumu kwa mtu wa kawaida in good conscious kuamua
 
Mwamba ushalewa chang'aa
 
Usingeenda mbali kujenga hoja yako. ngeingia kwenye point ungefahamika.

Umetueleza tatizo tumekuelewa, lakini hujatupa ufumbuzi wa tatizo unaoufikiria wewe kuwa ni muafaka.
point yangu kuna jambo linapangwa 1.kumekuwepo mfululuzo wa vita mfn wa RUSSIA-UKRAIN na hii GAZA WAR tofaut na kipind kile ambpo ukisikia vita ujue NATO kavamia magaidii wa libya,syria au iraq(akili inaandaliwa) 2,huenda wanataka kutwaa GAZA kwa kinguvu lkn lengo la tatu idadi inayotangazwa ni totally wrong.
 
Israel walijua Sema plan Yao ilikuwa ni takeover GAZA YOTE so ilikuwa lazima watafute reasons ili watu wasipige kelele so ndo maana wakaacha Hamas washambulie. Na ndio maana now wanaongeza propaganda kuwa wamechinja watoto[emoji23][emoji23]just kujiongezea legitimacy ya kuvamia. Ndo maana jana wamewaambia Un kuwa watu milioni 1 waondoke Gaza. Coz that was the plan all along.
Maana wanasifiwa na intelligence ya hali ya juu na kuwa Gaza iko 24/7 under surveillance kwa Anga Lao lote. So how come watu wanashuka na parachut kwenye Anga lako usione na wewe ndio unasifika na ujasusi na udukuzi etc.
 
ohh pole. najua haujui unachokiamini kama kinakupeleka motoni moja kwa moja. though tukiweka utani pembeni, binafsi nawaonea huruma sana watoto wa kipalestina na wanawake, wengi wamejaa vumbi la mabom, majerana, wengi wamepoteza familia nzima amebaki yeye tu na hajui kwa kwenda.

though kwa upande mwingine nimefurahi HAMAS hadi sasa wamefikia 2,000 na uvaa makobaz wao ule kumbe walikuwa hawana lolote.

kifuatacho sasaivi faiza, ni kuvunja al aqsa, kwasababu pale palikuwa na hekalu la suleiman, ili wajenge sinagogi la kiyahudi. sijui jumuiya ya kiislam itafanyaje kwenye hilo. leo nimeona wanaoingia al aqsa wanaruhusiwa na israel na wameruhusiwa watoto tu watu wazima marufuku.
 

Naunga mkono na mguu hoja
 
Hujatumia ubongo kuandika
 
Aiseee…. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna jet ya kampuni inaelekea Gaza kesho, nikupe connection?
 
Gaza wako milioni 2 Waondondoke waende wapi?
 
Hujatumia ubongo kuandika
recent generation has collapse coz we live as if robbot some niggers press buttan the rest dance..kizazi cha analogia kimeandaliwa kupokea na syo kuchambua..natumai media miaka ya baadae zitakuwa muhmil wa 4 wa nch
 
Kwamba idadi ya vifo vya Israel ni kubwa kuliko ya Palestine .. 😁
may be idad ya israel ni ndogo kupitz ila wao na media zao wamelikuza jambo..ili kutengez sympath na attention.
 
AAcha assumption
 
Kwa kukusaidia tu, Al Aqsa haiko Gaza , iko Jerusalem, na waislam wanaswali huku wanalindwa na askari wa Israel. kaa ukijua hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…