Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Jana wakazi wa Kibaha hawakulala baada ya kupata mgao wao wa maji baada ya siku 5 nzima bila hiyo huduma... Baadhi walijaza mpaka vijiko kwakuwa hawajui yakikatwa yatarudishwa liniWalianza kwa kusema kutakuwa na mgao wa maji na wakatoa ratiba lakini maeneo mengi ambayo nina ndugu jamaa na marafiki hapa Dar sasa ni zaidi ya wiki mbili hakuna maji...
Tujiandae tu kuchimba visima binafsi, utapata na ziada ya kuwapa majirani na ya kuchangia ngarama za umeme na pumpKwa kweli nami leo nimewaza kuhusu hili, yani wameyachukua kabisa nilikua na .aji kwenyr tank yamekwisha sasa naona ni wiki mbili sasa na sijui lini yatarudi huku tabata
kiufupi samia nchi imemshinda kazi kuzunguka tu duniani kwenye tafrijaWalianza kwa kusema kutakuwa na mgao wa maji na wakatoa ratiba lakini maeneo mengi ambayo nina ndugu jamaa na marafiki hapa Dar sasa ni zaidi ya wiki mbili hakuna maji...
Na ndio yanayotusaidia hapa japo yana chumvi kwa kua mashine imeharibika ya kuchuja chumviTujiandae tu kuchimba visima binafsi, utapata na ziada ya kuwapa majirani na ya kuchangia ngarama za umeme na pump
Nasikia kuna wengine mpaka walijaza maji midomoni ili kesho yake wayatumie kupiga mswakiJana wakazi wa Kibaha hawakulala baada ya kupata mgao wao wa maji baada ya siku 5 nzima bila hiyo huduma... Baadhi walijaza mpaka vijiko kwakuwa hawajui yakikatwa yatarudishwa lini
Aliepaswa kumtumbua haishi nchini kwa siku za karibuni
Hivi Juma 'Awesu' yupo? Simsikii kabisa au ameshatumbuliwa?
Mfumo mbovu , hawezi sikika , ili afanye maamuzi lazima awaguse matycom mana hao ndo chanzo cha shida ya maji, hapo usipopata backup ya mkuu wa nchi ni kama unajipalia mkaa tuu, utashushwa kaburini sku si zako , best option ni kucheza na beatHivi Juma 'Awesu' yupo? Simsikii kabisa au ameshatumbuliwa?
Sasa kuna haja gani ya kuendelea kuwa Waziri usiye na meno?Mfumo mbovu , hawezi sikika , ili afanye maamuzi lazima awaguse matycom mana hao ndo chanzo cha shida ya maji , hapo usipopata backup ya mkuu wa nchi ni kama unajipalia mkaa tuu, utashushwa kaburini sku si zako , best option ni kucheza na beat
Kazi kwelikweli.Aliepaswa kumtumbua haishi nchini kwa siku za karibuni
Ametoa agizo visima 197 ambavyo havijatumika mda mrefu vifufuliwe
Hivi Juma 'Awesu' yupo? Simsikii kabisa au ameshatumbuliwa?