Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Hamna namna hamieni wilaya ya temeke tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyemteua ndo amfukuze , hata Mimi siwez kuachia ugali wakat walioko juu yangu ndo wabovu zaidi , waanze wao na Mimi nitafata , vinginevyo labda wanifukuze Kwa mamlaka waliyo nayoSasa kuna haja gani ya kuendelea kuwa Waziri usiye na meno?
Walianza kwa kusema kutakuwa na mgao wa maji na wakatoa ratiba lakini maeneo mengi ambayo nina ndugu jamaa na marafiki hapa Dar sasa ni zaidi ya wiki mbili hakuna maji.
Ni vyema sasa serikali isitishe kulipa mishahara kwa wafanyakazi wa Dawasa kwasababu huwa wanalipwa kwa kutoa huduma ambayo sasa hivi haipo.
Mkuu angalau hao ni siku tano tu, kuna watu wiki tatu sasa hamna maji. Hapa kwangu leo imebidi niagize maji lita 2000 kwa 120,000.Jana wakazi wa Kibaha hawakulala baada ya kupata mgao wao wa maji baada ya siku 5 nzima bila hiyo huduma... Baadhi walijaza mpaka vijiko kwakuwa hawajui yakikatwa yatarudishwa lini
Asante sana mkuu, serikali yetu lazima waamke sasa ili walete mitambo tutumie ya bahari maana hamna namna.Poleni sana wakuu , ukanda niliopo maji ni bwerere ,ukiamka saa 6 unajijazia mpaka vijiko na vibakuli.
Mto rufiji unayapeleka baharini japo sidhani kama yapo mengi.Labda mito yote imekauka, hivi kweli kuna mto unapeleka maji baharini na watu wanateseka maji?
Temeke maji ya visima au?Hamna namna hamieni wilaya ya temeke tu
Mvuti iko maeneo gani?Njooni Mvuti, Maji 'bwelele' tunanywishia nguruwe
Naunga mkono hii hoja,Ni vyema sasa serikali isitishe kulipa mishahara kwa wafanyakazi wa Dawasa kwasababu huwa wanalipwa kwa kutoa huduma ambayo sasa hivi haipo.
Acha Uongo mkuu,Njooni Mvuti, Maji 'bwelele' tunanywishia nguruwe
Mwananyamala Bwawani hakuna maji ni wiki ya 5 sasa. Yaani hakuna hata yale ya mgaoKuna sehemu Dar mwezi mzima maji hayajatoka
Nchi imekosa kabisa uwajibikaji na hii imepelekea watu kutoa taarifa za uongo bila aibu.Kuonyesha walivyo hovyo na incompetent, DAWASA wametoa ratiba ya mgao wa maji ambayo wameshindwa kuitekeleza. Kumbe walikuwa hawajui hata kiasi cha maji kilichopo ku supply huo mgao wao. Halafu DAWASA na Mkuu wa Mkoa wamekaa kimya kuhusu hiyo ratiba yao
Wakati huo nmeona kuna visima vya maji wakivifufua ambavyo havikutumika kwa kutoa maji miaka mingiWalianza kwa kusema kutakuwa na mgao wa maji na wakatoa ratiba lakini maeneo mengi ambayo nina ndugu jamaa na marafiki hapa Dar sasa ni zaidi ya wiki mbili hakuna maji.
Ni vyema sasa serikali isitishe kulipa mishahara kwa wafanyakazi wa Dawasa kwasababu huwa wanalipwa kwa kutoa huduma ambayo sasa hivi haipo.
Mabadiliko ya tabia ya nchi.😂Kwenye hili nani anaupiga mwingi?