Kinachoendelea hapa Dar es salaam sio mgao wa maji, ni kwamba Dawasa imeshakufa

Kinachoendelea hapa Dar es salaam sio mgao wa maji, ni kwamba Dawasa imeshakufa

Walianza kwa kusema kutakuwa na mgao wa maji na wakatoa ratiba lakini maeneo mengi ambayo nina ndugu jamaa na marafiki hapa Dar sasa ni zaidi ya wiki mbili hakuna maji.

Ni vyema sasa serikali isitishe kulipa mishahara kwa wafanyakazi wa Dawasa kwasababu huwa wanalipwa kwa kutoa huduma ambayo sasa hivi haipo.

Dawasa iko ICU
Nawahurumia wafanyqkazi wake maana hili zengwe linaenda kuwanyima kazi
 
Kwa shekeli gani
emoji23.png
W
Tulieni tupo tunaangalia uwezekano na sisi kurusha satellite angani kama wenzetu
Kwa staili hii ya kuyashindwa Mambo madogo ya msingi na yenye umuhimu mikubwa,tutasubiri Sana,vinginevyo tutelekeze yote tufanye tuliloamua
 
Kwanza mshukuru ht Maji ya dawasco mnayo wengine hatuna kabisaa tuna visima enzi na enzi
 
Unadhani ni waziri ameshindwa kazi? NO !!

Ni mfumo mzima ! Ndio maana Tz sasa imekuwa ni "HAKUNA KANTRE.." Yaani:- hakuna maji, hakuna umeme, hakuna dawa mahospitalini, hakuna vitabu mashuleni, hakuna madarasa ya kutosha, hakuna waalimu wa kutosha, hakuna mikopo ya wanachuo kwa wakati, hakuna tena wanaojali............

kuna ngono tu na mipira simba yanga
 
Nashangaa sana nikisikia shida ya Maji. Mimi nipo dar , Na mahali nakaa sijawahi kuona maji yakikatika
 
Back
Top Bottom