TT amuonya GP
Amesema hakuna atakayejali mchakato, ikiwa yeye GP ataendelea kupoteza mechi zake.
"Kwa uzoefu wangu wa Chelsea, PSG, Dortmund na Mainz ni kwamba inachotakiwa ni matokeo. Unaweza ukavumiliwa kupoteza mechi kwa muda mfupi lakini sio muda mrefu vinginevyo hakuna mtu anayeamini juu ya mchakato tena."
TT Alidai
Changamoto ya ushindani katika timu kubwa za EPL ndizo hizo alisosema TT. Naamini Chelsea ikifika kwenye nafasi ya 10, uvumilivu utamuishia Boehly na mara tutashuhudia kibarua cha GP kikiota ndago mchana kweupe
GP ashukuru Kombe la Dunia na ligi ikirudi aweke mkakati kabambe wa kuhakikisha Chelsea inashinda mechi zake na kurudi top 4 au hata nafasi ya 5 hapo anaweza kusamehewa aendelee kuijenge timu. Nje na hapo hakutakuwa na uvumilivu na mimi namuunga mkono TT 100%
View attachment 2414073